Serikali kuwasilisha Bungeni Muswada wa kurekebisha kikokotoo cha Mafao

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Serikali imeliambia bunge kuwa lipo katika hatua za mwisho kwa ajili ya kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya mafao ya wafanyakazi kuhusu kikokotoo kipya baada ya kukamilisha vikao vinavyowahusisha viongozi wa vyama vya wafanyakazi na kuwa na sheria isiyoweka vikwazo kwa wafanyakazi kuchukua fedha zao pindi wanapostaafu.

Waziri wa Nchi Sera, Uratibu bunge vijana ajira na watu wenye ulemavu Mhe Jenister Muhagama ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya matumizi ya bunge baada ya mbunge wa viti Maalumu Chadema Mhe Ester Bulaya aliyetaka kujua lini serikali itaondoa kizungumkuti cha kikokotoo kipya kilichosimamishwa na mwaka 2018 na Hayati Rais Dokta Jonh Magufuli baada ya kulalamilikiwa na wastaafu kukatwa fedha zao kwa kutumia kikokooti kipya.

Katika hatua nyingine serikali imeweka kisera suala la lishe bora kwa wananchi katika mpango wa taifa wa miaka mitano kutokana na tatizo la udumavu kwa watoto kwa kukosa lishe na kuendelea kukabili zaidi mikoa inayozalisha chakula kwa wingi ikiwemo Iringa, Songwe na Ruvuma.

ITV
 
Ninashauri Serikali iwasilishe Bungeni Muswada wa kurekebisha kikokoteo cha mafao kitakachowahusu wabunge na wafanyakazi wote. Sio wabunge kubadili kikokoteo kisichowahusu
 
FAO la kujitoa NSSF linarudi kwa skilled labour?

Hapo Sasa TUCTA wafanyakazi kazi, ili FAO LA KUJITOA LIREJESHWE
 
Esther Bulaya anaongea Kama Nani, ajue kwamba ubunge alio hongwa na shortman watanzania hawautambui.
Akajifunze adabu kwanza. Kama amenisoma atakua amenielewa.
 
Serikali imeliambia bunge kuwa lipo katika hatua za mwisho kwa ajili ya kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya mafao ya wafanyakazi kuhusu kikokotoo kipya baada ya kukamilisha vikao vinavyowahusisha viongozi wa vyama vya wafanyakazi na kuwa na sheria isiyoweka vikwazo kwa wafanyakazi kuchukua fedha zao pindi wanapostaafu.

Waziri wa Nchi Sera, Uratibu bunge vijana ajira na watu wenye ulemavu Mhe Jenister Muhagama ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya matumizi ya bunge baada ya mbunge wa viti Maalumu Chadema Mhe Ester Bulaya aliyetaka kujua lini serikali itaondoa kizungumkuti cha kikokotoo kipya kilichosimamishwa na mwaka 2018 na Hayati Rais Dokta Jonh Magufuli baada ya kulalamilikiwa na wastaafu kukatwa fedha zao kwa kutumia kikokooti kipya.

Katika hatua nyingine serikali imeweka kisera suala la lishe bora kwa wananchi katika mpango wa taifa wa miaka mitano kutokana na tatizo la udumavu kwa watoto kwa kukosa lishe na kuendelea kukabili zaidi mikoa inayozalisha chakula kwa wingi ikiwemo Iringa, Songwe na Ruvuma.

ITV
Habari Njema ila rekebisha taarifa! kuna Mbunge wa kiti na sio Chadema
 
Siasa hapo hakuna lolote kikokotoo Rais aliisha saini alihairisha tu Wastaafu jiandae Maumivu ni yale yale ya kulipwa Asilimia 25% zinazobaki ni Pensheni ya kila Mwezi
 
Back
Top Bottom