B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi kweli jamani.
Imagine kijana wa miaka 35 ajira iliisha au mkataba wake umeisha na hali ya uchumi kampuni zinapunguza wafanyakazi na ajira hakuna, tunategemea hivyo vihela tujikite kwenye ujasiriamali navyo hamtupi,kazi kutusimanga hatufanyi kazi.