Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Toka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Nimekuwa nikifuatilia siasa za hapa kwetu Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa, na kwa mjibu wa ibara ya tatu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, inaeleza...
1 Reactions
3 Replies
667 Views
Serikali imesema ipo katika mpango wa kupitia utaratibu wa malipo kwa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ili wapunguziwe mzigo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Machi 31, 2021 bungeni mjini...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.
15 Reactions
110 Replies
9K Views
Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni...
1 Reactions
0 Replies
693 Views
Kama mtu leo hii ni kiongozi mkubwa lkn anapendezwa zaidi na kusema uongo kuliko ukweli, basi kuna kila dalili alipokuwa mdogo labda malezi yake yalikuwa ya kunyanyaswa sana, na hivyo alilazimika...
93 Reactions
168 Replies
25K Views
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa...
31 Reactions
1K Replies
120K Views
Katika mambo yanayouma ni haya haki. JK pamoja na mapungufu na majanga ya ufisadi ya utawala wako watumishi waliishi kama malaika, yaani kipindi kile ukiwa mtumishi wa umma ni raha na proud kubwa...
12 Reactions
32 Replies
6K Views
Nashangaa jumuiya ya kimataifa bado wanamuacha huyu kiongozi wetu na serikali yake bila vikwazo???nasema haya maana huko mbeleni watu wanazidi kuumia maana walofanya nae kazi toka wizara ya ujenzi...
47 Reactions
225 Replies
21K Views
Katika jambo ambalo limelalamikiwa sana lilikua ni suala la ukabila. Watu wengi walikua na manung'uniko ya chini kwa chini kua kabila moja kubwa hapa nchini ndio lilikua linawaweka sana ndugu zao...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Uzuri wa JPM akishaingia madarakani, anaanza kuwashughulikia wale waliosaidia kumwingiza madarakani na walio mpigia kura. Sasa wewe endelea tu na kiherehere na kimuhemuhe cha kumpigia campaign na...
26 Reactions
96 Replies
8K Views
Wakuu naomba kujuzwa undani wa hii tarifa kunatetesi kuwa madeni kipande ambaye alikuwa mkurugenzi mkuu wa banadri amefukuzwa rasmi kutoka bandarini. Nimehakikisha pasipo na shaka kuwa ndugu...
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona. Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa...
10 Reactions
106 Replies
12K Views
Salamu kwenu, Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa...
7 Reactions
141 Replies
9K Views
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu...
12 Reactions
91 Replies
8K Views
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015! Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii. Kongole kwa CCM...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom