Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Azim Dewji amemwambia Rais Samia: Rais Wetu Aliyepita(John Magufuli) Alikuwa na Nia Yake na Wewe (Samia Suluhu) Una Yako, Wasikufitinishe Source : JamiiForums ======== Azim Dewji: Mama kila...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunafahamu kwa kiasi kikubwa sarakasi zilivyotumika katika uchaguzi wa mwaka 2020. Kura ziliibwa, wasimamizi walipiga kura nyingi hadi zikapitiliza idadi ya wapiga kura waliojiandikisha Mabegi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MAGUFULISM Hii ni aina mpya ya Falsafa iliyoanzishwa katika Karne ya 21 haswa mwaka 2021 kutokana na falsafa za aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyeishi...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Ni kweli nakubali kuwa kusoma ( kuelimika ) sana siyo Kutusua ( Kufanikiwa ) Kimaisha kwani kama ingekuwa hivyo basi Mimi Generalist nisingekuwa na Maisha haya Duni ( ya Dhiki ) niliyonayo sasa...
15 Reactions
83 Replies
7K Views
Hakuna serikali inayosimamia Katiba yake kwa asilimia mia moja. Hakuna. Haijawahi kutokea na haitakuja kutokea. Kuna watu ambao kila siku ni kuikosoa serikali, yes ni haki yao. Hata wakikosoa mara...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa...
24 Reactions
132 Replies
14K Views
Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kawaida ya CCM kutokutumia akili inapofika masuala ya kujibu hoja zilizoibuliwa bali kumtumia mbunge wa Mtera Lusinde au wa Geita Musukuma ambao hawana elimu ya kuelewa wanapaswa kusema nini...
55 Reactions
170 Replies
16K Views
6 April 2021 Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa...
1 Reactions
92 Replies
10K Views
Hiki ndicho kinacho litesa sana taifa kwa sasa na itachukua muda kidogo kwa taifa kuondokana na tatizo hili na kuzifuta element hizi. Hii haikuwa legacy nzuri ambayo JPM ameliachia taifa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kati ya mambo ambayo yalitia giza serikali ya awamu iliyopita ya tano ambayo hadi leo ni uchungu mkubwa kwa waliokumbwa na uonevu huo ni hili la wafanyabiashara wa mkoa wa Arusha wa maduka ya...
33 Reactions
108 Replies
11K Views
Tukumbuke wabunge wengi elimu ni ndogo kuliko wenye elimu kubwa. Bahati mbaya hawana tabia ya kutafuta washauri kabla ya kujipanga kutoa michango. Lakini nimekuwa na hisia kwamba wapo wanaotafuta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na hayati Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua. Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza...
19 Reactions
47 Replies
4K Views
Mh. Samia Suluhu aliposema KAZI IENDELEE alimaanisha mambo yote 'mazuri' yaendelee kama ilivyokuwa kwa hayati JPM. Tunatambua kuwa mojawapo ya 'kazi' ambazo zilikuwa zikiendelea kwa kasi hapa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania, Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji. Leo...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema...
24 Reactions
61 Replies
5K Views
Back
Top Bottom