polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,809
Hiki ndicho kinacho litesa sana taifa kwa sasa na itachukua muda kidogo kwa taifa kuondokana na tatizo hili na kuzifuta element hizi.
Hii haikuwa legacy nzuri ambayo JPM ameliachia taifa na ndicho kinacho leta shida kwa sasa kwa wananchi hata sasa bungeni.
Kuna haja kama taifa kutengeza mfumo ambao Rais atakuwa anawajibika kama taasisi na si kuwajibika kama mtu binafsi ili kuondokana na watu kuwa na uzalendo kwa mtu badala ya taifa.