Wabunge wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili ‘legacy’, itatusaidia nini?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,782
2,000
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe.

Wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, taifa lina matatizo mengi yanayohitaji ufumbuzi jadilini hayo hatukuwatuma kwenda bungeni kujadili legacy ya marehemu.

Mnapoteza muda bure.
 
Ngatele

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
758
1,000
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kukusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
Inaonekana ishu kubwa ni kuona Mama kaanza kubadili mambo ya awamu ya tano na kwa kuzingatia kuwa alikuwa msaidizi wa karibu na rais wa awamu hiyo. Makamba Jnr kaeleza vizuri ishu ya mgawanyiko huo.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,394
2,000
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kukusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
teh teh teh angalia vitu vingine sio lazima ufuatilie legacy tunayotaka kutengeneza
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
44,940
2,000
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
Nii mambo ya ajabu sn
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,261
2,000
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe.

Wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais.

Mnapoteza muda bure.
Mkuu ni ujinga tu... hawajui kuwa Tanzaniani taifa na linapaswa kuendelea pasipo kujali nani yupo au nan hayuko... Hili linadhirisha kuwa palikuwako "mtu na watwana wake" na hili la vibaraka waliosalia litatutesa sana
 
Ninja assasin

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,424
2,000
kuna uhusiano wa karibu ukiwa sisiemu na ukilaza sasa nimeanza ona kutwa watu wanapiga kelele ya legacy legacy mmxiiiiuuu shenze kabisa Pro Assad aliona mbali sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom