Kwanini viongozi wa kisiasa waliokulia kwenye maisha ya kimaskini wana roho mbaya sana tofauti na wale wa maisha mazuri?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani.

Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa jeshini.

Lakini wale waliokulia kwenye maisha mazuri na roho zao huwa nzuri tu mfano akina Makongoro Nyerere Uhuru Kenyata, Fred Lowassa, Freeman Mbowe nk nk

Ramadhan Kareem!
 
Hata ofisini ukiwa na bosi aliyekulia kwenye umaskini lazima chamoto ukione, licha ya cheo nadhani umaskini na sadist behavior huwa inawa affect akili zao, bila kusahau umaskini ni laana huwa hautoki kiurahisi rahisi hvi.
 
Hata ofisini ukiwa na bosi aliyekulia kwenye umaskini lazima chamoto ukione,licha ya cheo nadhani umaskini na sadist behavior huwa inawa affect akili zao, bila kusahau umaskini ni laana huwa hautoki kiurahisi rahisi hvi
saddist behaviour. umeiweka ktk maana nzuri sana. yes maskin wengi ni saddist bila wao kujua.
In their world utajiri ni dhambi.

utajiri ni against idea zao, ndio maana wanatamani sana tajiri afilisike wapate relief
 
saddist behaviour. umeiweka ktk maana nzuri sana. yes maskin wengi ni saddist bila wao kujua.
In their world utajiri ni dhambi.

utajiri ni against idea zao, ndio maana wanatamani sana tajiri afilisike wapate relief
Nimeng'amua jambo hapa

MÊmENtO HoMO
 
Kwako roho mbaya ni nini, kuzuia wizi wa mali ya uma? Kutumbua wazembe serikalini na kutaka uwajibikaji? Kuzuia watu wasitumie vyeti feki? Kuondoa watumishi hewa?Kuzuia mabeberu wasiibe rasilimali zetu? Kuzuia uuzwaji wa ngada nchini? Mkuu kama roho mbaya inaletwa na serikali kufanya lolote kati ya hayo hapo juu,na mengine yanayo fanana na hayo,basi ngoja iwe na roho mbaya.

Sasa nani mwenye roho mbaya, wewe unayefanya hayo yaliyotajwa hapo juu na mengine yanayofanana na hayo ambayo yako kinyume na sheria za nchi na za utumishi au serikali?

Jamani Watanzania mnapaswa kubadilisha your mindset, tumekuwa vituko na we are totally wrong.
 
Hata ofisini ukiwa na bosi aliyekulia kwenye umaskini lazima chamoto ukione,licha ya cheo nadhani umaskini na sadist behavior huwa inawa affect akili zao, bila kusahau umaskini ni laana huwa hautoki kiurahisi rahisi hvi
Nimekuelewa bwashee!
 
Kwako roho mbaya ni nini,kuzuia wizi wa mali ya uma?Kutumbua wazembe serikalini na kutaka uwajibikaji?Kuzuia watu wasitumie vyeti feki?Kuondoa watumishi hewa?Kuzuia mabeberu wasiibe rasilimali zetu?Kuzuia uuzwaji wa ngada nchini?Mkuu kama roho mbaya inaletwa na serikali kufanya lolote kati ya hayo hapo juu,na mengine yanayo fanana na hayo,basi ngoja iwe na roho mbaya.

Sasa nani mwenye roho mbaya,wewe unayefanya hayo yaliyotajwa hapo juu na mengine yanayofanana na hayo ambayo yako kinyume na sheria za nchi na za utumishi au serikali?

Jamani Watanzania mnapaswa kubadilisha your mindset,tumekuwa vituko na we are totally wrong.
Nduli Idd Amin alizuia wizi wa nini kwa mfano!
 
NA PIA KWA NINI MARAIS WAKRISTO WOTE WAMEWAHI KUFARIKI , WALE WA KIISLAMU BADO WAPO HAI?

MÊmENtO HoMO
Wengi huwa na roho mbaya kumtaja kristo mdomoni Ila kristo wao hayuko moyoni, pia wanapenda kuweka vinyongo, Marais wengi wamekulia pwani sehemu ambako hawana roho mbaya pia huwa hawabebi ma stress mioyoni mwao ndio maana hawaugui moyo. In short nature ya mazingira imewafundisha kutenda haki na kuogopa kuonea wengine.
 
Back
Top Bottom