Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wakurugenzi..!

Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025.

Mama kweli amekusudia kutuletea maendeleo na kuhakikisha kila mwananchi anafaidi keki ya Taifa na kupata haki anayostahiri.

Kiukweli swala la kukusanya kodi kupita Hayati hiyo rekodi mama hatoiweza maana yule mwenzake alikushanya mpaka kwa bunduki,ss kukusanya kodi huku unamuomba mfanya biashara "yakheee wee kesho njoo ulipe kodi " sidhani kama wengi watajitokeza.

Kifupi maswala ya kodi mama naomba yasimuumize kichwa sana hata akikusanya 600Bil kwa mwezi sio mbaya,ila ili yote yawezekane inabidi kwanza ahachane na miradi ya mtangulizi wake maana itamuumiza kichwa tu ina gharama kubwa sana na pia atapigwa sana maana watu dizain ya kina HK wapo wengi.

Nashauri hela za miradi ziende kutatua changamoto za walimu,ajira,mafao,kupandisha mishahara n.k.

Zile ndege tutafute muwekezaji aziendeshe,SGR mwekezaji,Nyerere Hydro Power mwekezaji yaaani kote weka wawekezaji hasijichoshe asije patwa na presha au umeme wa moyo, sirikali hio ikusanye kodi tu na kulipa mishahara basi.

Au naongopa wakurugenzi wangu??
 
Hapo unaposhauri kutatuliwa changamoto za walimu, kwani walimu ndio watumishi pekee katika nchi hii?
 
Back
Top Bottom