Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna kila dalili kwamba sasa ni zamu ya Zenji kufaidi matunda ya Muungano, Nimesikia kwamba pesa za Sherehe za Muungano zitagawanywa kwa Tanganyika na Zanzibar.Hii sio tatizo lakini tunataka...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM. Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti. Ramadhan kareem!
5 Reactions
39 Replies
2K Views
KADA wa CCM Apewe Za Kura Za Ndiyo Tuonyeshe Uzalendo Tuonyeshe Upendo Tuonyeshe Mshikamano Tudumishe Umoja Tudumishe Utamaduni Wetu Kura Zote Za Ndiyo Kwa Samia Suluhu Hassani Kura ya Hapana...
-1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu. Jana kwenye press conference na waandishi...
10 Reactions
77 Replies
8K Views
Mkurugenzi Wa Mafunzo Taifa Benson Kigaila akielezea tukio lilivyokuwa kwa waandishi wa habari leo. --- Na Francis Godwin, Iringa. Ikiwa ni siku tano zimepita toka kuuwawa kwa mwandishi wa...
4 Reactions
42 Replies
9K Views
Hukumu kwa Askari aliyekutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia Mwandishi Mwangosi ni leo tarehe 27/7/2016. Hukumu hiyo ambayo hasa itahusu adhabu anayostahili Askari husika itasomwa na Jaji...
5 Reactions
153 Replies
36K Views
Wakati Mhe. Rais kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alitoa hotuba safi sana, ambayo kweli tulikuwa na matumaini ya kuwa na Tanzania mpya, na yenye maendeleo ya kasi. Aliongelea mambo mengi...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya. Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli. Wenyeviti wa...
26 Reactions
84 Replies
8K Views
Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri. Maswali haya yafuatayo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka. Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa...
16 Reactions
149 Replies
8K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye...
21 Reactions
115 Replies
13K Views
Nadhani wataalamu wetu waliosomea fani ya maji na walioajiriwa katika mamlaka ya maji wanapitia wakati mgumu Sana na nadhani wanajuta kwanini walisomea taaluma hizo hasa wahandisi. Muda uliopita...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuliisha zowea sikukuu za kiserikali kutaarifiwa gharama ( pesa ) kuelekezwa kwenye miradi mingine sasa sherehe hii ya leo imekaaje?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU. Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia. Kazi Iendelee!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema. Akizungumza na...
28 Reactions
70 Replies
6K Views
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda. Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Eti watendaji wengine wakawa wanamtumia tu Rais badala ya wananchi wakawa wanapita huku na kule kuita waandishi wa habari wenye camera ili tu mradi Rais awaone wanafanya kazi bila kujali utendaji...
4 Reactions
8 Replies
879 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…