Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa 1/3 ya basic yao.
Hapo ukute alikuwa anabakiwa na take home ya 1/3 sasa HESLB nao wakachukua chao 15%, nadhani atabakiwa na 1/6