Katiba ndio muongozo na uhai wa taifa lolote duniani. Inapotokea Katiba haisemi au kuzungumzia jambo kinagauba au kuonesha upungufu wa aina yoyote ni ishara kuwa ni utatanishi hivyo kuhitajika...
#Tujadili hotuba kidogo.
Binafsi nimesikiliza hotuba ya Mh.Rais jana.
Kwa muda ambao Mh.Samia yupo madarakani ni vigumu sana kumuhukumu kipindi hiki ikiwa hata miezi miwili bado, vyema kumpa...
21 April 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA
Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa...
Uzalendo kwa maana ya kulipenda na kujitoa kulitumikia na kulitetea taifa katika hali zote na kwa moyo wote, na ujasiri kwa maana ya kuwa tayari kukabiliana na nguvu iwayo yote kutoka kwa yeyote...
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!
Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye...
Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja!
Ni ajabu sana huyu mtu kubaki...
Katika hali ya kawaida tu huwezi kuzuia jambo fulani lisifanywe na wale eti ni baya ilhali wewe ndiwe mshirika mkuu kwalo.
Mbowe na Zitto ni vinara wa mahubiri demokrasia na kwalo ni wazungumzaji...
Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani
Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia.
Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa...
Rais Samia ametujuza hivyo leo.
...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali.
...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za...
AMEGUSA KILA KITU BILA KUKISUMBUA..
Hotuba imeisha. Tumeisikia. Penye wengi kuna mengi. Nimetoka na haya:
1. Hotuba nzuri lakini ya kawaida. Wakuu wa nchi wa kawaida huongea kwa uungwana mbele...
Mara kadhaa, mama Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Huenda ni watu aina moja kwa sababu wametokana na uchaguzi mmoja.
Ukifuatilia kauli zake hasa katika hotuba ya leo, dira ya Taifa...
CHADEMA ni chama kinachojinasibu kufuata demokrasia na haki si afya kwa wanachama wanakata rufaa ndani ya chama mnataka mchukue mwaka mmoja kutolea maamuzi hii siyo haki.
Au mnataka kuigeuza...
Wanabodi!
Wengi wanaamini Rais Samia Suluhu Hassani hayupo sahihi kusema yeye ni Rai's wa awamu ya sita.
Kutokana na watu wengi kuwa na mkanganyiko juu ya suala hili naomba nifafanue Kama...
Are we ready to risk smaller brains, livers and testicles?
By JOHN MBARIA | Special Correspondent - THE EAST AFRICAN
ALTHOUGH evidence is mounting that GM crops are not safe for consumption...
Nnaomba kujuzwa hivi hili swala la Bei ya Bando nani kamshindwa mwenzie Kati ya Serikali na Makampuni ya Simu? Ndugu zangu hivi tuseme tumeshindwa kabisa kupigania haki zetu au ndio tumekubali...
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna.
Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila...
Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote...
Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao.
CPA Uttoh alisema dividend hulipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.