MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,486
- 8,702
Kuna kila dalili kwamba sasa ni zamu ya Zenji kufaidi matunda ya Muungano,
Nimesikia kwamba pesa za Sherehe za Muungano zitagawanywa kwa Tanganyika na Zanzibar.Hii sio tatizo lakini tunataka kujua hizo pesa za shehehe huwa zinachangwa Bara na Visiwani?
Tujue kwanza pesa za sherehe huchukuliwa kutoka fungu lipi.
Kingine ni kwamba je tunagawana sawa?
Zenji nazani inazidiwa hata na Kinondoni kwa population sasa suala la kugawana sawa bin sawa sio sawa kabisa.