Tusisahau: Ili uwe mwenyekiti wa CCM ni lazima kwanza uwe ni Rais wa JMT!

Haya yote ni matunda ya uchaguzi wa 2020.chickens coming home to roost,simple
 
johnthebaptist inamaana 2025 Tundu Lissu atakua Rais wa JMT, makamu mwenyekiti Chadema na Mwenyekiti wa CCM?
Bila kubadilisha katiba hakuna mpinzani anaweza kutangazwa Rais hata kama amepata kura nyingi.

Kaisome sheria ya vyama vingi utagundua CCM haifananishwi kabisa na vyama vya upinzani, kwa kifupi CCM ni chama dola!
 
Back
Top Bottom