Ni ukweli ulio dhahiri kuwa awamu ya 5 ilivuruga uchumi wa Tanzania. Iliangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% iliyoachwa na awamu ya 4 mpaka 4%. Iliangusha ukuaji wa utalii toka 15% iliyoachwa na...
Tuliolelewa ndani ya chama hiki kikongwe na kubaki na imani mpaka kufa tunaijua nguvu ya mwenyekiti ndani ya chama tunaitambua ndio maana tunabaki kujiuliza hii nguvu ya kuwa attack watu kama...
Freeman Mbowe
Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa...
Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART.
Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi...
Nafuatilia Sana mienendo na MIJADALA bungeni Ila sijawahi kumsikia mbunge toka CCM akiliongelea kuhusu kuwepo tume huru ya uchaguzi. Toka utawala wa Mkapa Hadi wa Samia Leo hii sijawahi kumsikia...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kufuatilia majadiliano ya kuimaliza kesi iliyowasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) dhidi ya mwenyekiti mtendaji wa PAP...
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Salama Mbarouk Khatib ameagiza kurejeshwa wizarani wafanyakazi watatu wa baraza la Mji Wete baada kushindwa kutekeleza maagizo ya Serikali ya kuifanyia...
Na Emmanuel J. Shilatu
Napenda niungane na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa hotuba safi iliyokata...
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .
Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na...
1. KUFANYA KAZI KWA BIDII
Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama...
Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa...
Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM...
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache...
Inasikitisha lakini haishangazi, kwamba wapo baadhi ya watu, wakiwemo Watanzania wenzetu wameanza tena kurejea tabia iliyokuwa imeanza kukoma, ya udokozi wa mali ya umma, wizi. Kwamba baadhi ya...
Mwishoni mwishoni mwa hotuba ya Rais Samia kazungumzia mambo ayaonayo mitandaoni.
Mambo ya kizushi, ya kuchonganisha, na kila aina ya uzandiki.
Ni jambo jema. Ni jema kwa sababu linaonyesha...
KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia...
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Tukumbuke kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe katika...
Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.