Yale ya Lowassa yanataka kujirudia kwa Januari

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Binafsi nimewahi kukiri kuwa ni shabiki wa January nina sababu nyingi kwa nini ni shabiki wake.

Ila kuna makosa naendelea kuyaona kutoka kwake, kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwa wale watu wenye ushawishi mkubwa mitandaoni kumpigia debe mapema hii.

Sitaki kuamini kuwa wanapiga hili debe bure, yaani wanaonyesha consistency ya hali ya juu kwenye kupiga hilo debe, hivyo ni wazi wapo connected na mhusika.

Hili ni kosa kwa jamaa yangu huyu kwa kuwa liliwahi kutokea kwa Lowassa. Ukianza kupiga sana jalamba mapema kwenye urais utaukosa.

Pia kwa Sasa tunae mama Samia, na anatosha kabisa hivyo sioni kama ni muda muafaka wa kuanza kupambania urais.

Kuutaka urais sio kosa, Ila ukianza kuutaka mapema Sana Tena kwa kutumia nguvu mbalimbali hasa kutoka kwa wapambe ni kosa kubwa sana.

Dada wa kule USA ni kama alikuwa anajificha Ila sasa yupo wazi kabisa kuonyesha pengine unamtumia kukupigia kampeni na upo nyuma yake.

January nakuomba kwa sasa ungeachana na hizi drama za hawa watu, wanakuharibia. Nina amini unaweza kuupata uraisi Ila sio kwa style hii.

Binafsi ningependa kuona mama Samia anakaa kwenye uraisi Hadi 2030, hivyo tuache DRAMA.

Screenshot_20210423-095115_1.jpg
 
Wafuasi wa Ccm ni majanga! Miezi michache iliyopita, mlikuwa mnampigia debe magufuli kutaka aongezewe muda! Leo hii mmehamishia magoli kwa Majaliwa na January Makamba!

Na wakati huo huo mna Rais wa kwanza mwanamke! Tena ana mwezi mmoja tu tangu aapishwe! Kwa nini zile stori za kumuongezea miaka msizihamishie kwa huyu mama? Au ni kwa sababu ameonesha kutokuwa na mpango wa kuwakumbatia wanafiki na wachumia tumbo?
 
Wafuasi wa Ccm ni majanga! Miezi michache iliyopita, mlikuwa mnampigia debe magufuli kutaka aongezewe muda! Leo hii mmehamishia magoli kwa Majaliwa na January Makamba!

Na wakati huo huo mna Raus wa kwanza mwanamke! Tena ana mwezi mmoja tu tangu aapishwe! Kwa nini zile stori a kumuongezea miaka msizihamishie kwa huyu mama? Au ni kwa sababu ameonesha kutokuwa na mpango wa kuwakumbatia wanafiki na wachumia tumbo?
Mimi mbona hapo nimesema wazi kuwa natamani mama akae Hadi 2030
 
Hafai huyo ni mzalendo wa ccm chama kwanza nchi baadaye kwani chama kinamhakikishia ulaji.
 
2025 si mnaendeleza utamaduni wenu wa kumpa kipindi cha pili aliyepo?
Hao mataga wanajionyesha ni jinsi gani hawafurahishwi na hatua anazochukua mama ili kuliunganisha taifa
 
Wafuasi wa Ccm ni majanga! Miezi michache iliyopita, mlikuwa mnampigia debe magufuli kutaka aongezewe muda! Leo hii mmehamishia magoli kwa Majaliwa na January Makamba!

Na wakati huo huo mna Raus wa kwanza mwanamke! Tena ana mwezi mmoja tu tangu aapishwe! Kwa nini zile stori a kumuongezea miaka msizihamishie kwa huyu mama? Au ni kwa sababu ameonesha kutokuwa na mpango wa kuwakumbatia wanafiki na wachumia tumbo?
Mkuu fisiemu wana sifa za ukinyonga... wao hufuata mdundo wa mpigaji si ubora wa midundo...
 
Kwamba January anaipenda nchi yake! Hivi mtu anayeipenda nchi yake anaweza kushiriki kuiba kura za raia wa nchi hiyo?!
Standard zenu wabongo ziko chini mno.......yaani watu wa hovyo wahunihuni tu, eti wanafikiriwa kuwa marais! Khaaaaaaaaa....
TIA = THIS IS AFRICA
 
Binafsi nimewahi kukiri kuwa ni shabiki wa January nina sababu nyingi kwa nini ni shabiki wake.

Ila kuna makosa naendelea kuyaona kutoka kwake, kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwa wale watu wenye ushawishi mkubwa mitandaoni kumpigia debe mapema hii.

Sitaki kuamini kuwa wanapiga hili debe bure, yaani wanaonyesha consistency ya hali ya juu kwenye kupiga hilo debe, hivyo ni wazi wapo connected na mhusika.

Hili ni kosa kwa jamaa yangu huyu kwa kuwa liliwahi kutokea kwa Lowassa. Ukianza kupiga sana jalamba mapema kwenye urais utaukosa.

Pia kwa Sasa tunae mama Samia, na anatosha kabisa hivyo sioni kama ni muda muafaka wa kuanza kupambania urais.

Kuutaka urais sio kosa, Ila ukianza kuutaka mapema Sana Tena kwa kutumia nguvu mbalimbali hasa kutoka kwa wapambe ni kosa kubwa sana.

Dada wa kule USA ni kama alikuwa anajificha Ila sasa yupo wazi kabisa kuonyesha pengine unamtumia kukupigia kampeni na upo nyuma yake.

January nakuomba kwa sasa ungeachana na hizi drama za hawa watu, wanakuharibia. Nina amini unaweza kuupata uraisi Ila sio kwa style hii.

Binafsi ningependa kuona mama Samia anakaa kwenye uraisi Hadi 2030, hivyo tuache DRAMA.

View attachment 1761163
Leave the boring matter to CCM followers.
 
Back
Top Bottom