Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar.

Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama

FB_IMG_16192578687237370.jpg


FB_IMG_16192578634002843.jpg


FB_IMG_16192578558795846.jpg
 
Jambo jema, hivi balozi wa TANZANIA akihitaji kukutana na Mkuu wa polisi UK inawezekana? Imewahi kutokea? Kuuliza si ushamba nataka kujielimisha zaidi ili nijue.
Bw. Ndombwindo kwa mabalozi wenyewe hawa wa CCM wachumia tumbo kama kina Dr. SLAA ngumu kidogo

Na kwa ubalozi wenyewe wa kupeana kama ule wa BASHIRU haina tija kwa taifa hata kama wakipata nafsi ya kukutana haitotusaidia chochote kama Taifa
 
Hizi balozi zinakera sana
Huyu huyu mnafahamu uhayawani alioufanya kwa wasio na hatia huyu huyu leo mnakaa meza moja how n why
Mnatuvuruga mjue
Haya tuambieni mmezungumza nini kwa faida ya Wenye nchi msitukoroge khaa
 
Sisi tunaweza kuwasaidia vipi Uingereza katika ulinzi...Sana Ni kulinda ubalozi wao
 
Back
Top Bottom