Wananchi walalamikia kupigwa na Askari wawanyama pori huko ruvuma

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa
Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game

Chanzo Cha habari ni radione tz
 
Back
Top Bottom