Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,042
2,000
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba.

Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka kuielezea na kuifundisha kwa wananchi, na kwa kweli wananchi walikupokea vizuri, walikupenda sana kwa jinsi ulivyokuwa ukidadavua issues zao nyingi njema kabisa katika katiba hiyo.

Ulizungumza uwezeshaji wa wanawake katika vyombo vya maamuzi kwa mujibu wa rasimu hiyo - Wanawake walifurahishwa sana

Ulizungumza uwezeshaji wa wananchi katika kuwa na nguvu zaidi za kuwaweka viongozi wao madarakani, kwa mfano rasimu ilitaka teuzi za rais kama vile mawaziri zithibitishwe na bunge.

Ulizungumzia jinsi muundo wa sasa wa muungano unavyoibana Zanzibar na ukaelezea jinsi vyombo mbalimbali vya serikali wakiwemo makatibu wakuu kupitia kamati yao, ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi jinsi wanavyotaka muundo wa serikali tatu au unaoshabihiana na serikali tatu.

Sasa Ndugu Polepole, Wananchi wa Tanzania wanataka katiba mpya, na kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa katiba mpya ni CCM, na kinara wa vikwazo vya katiba mpya ni rais Magufuli.

Kwa hiyo basi wewe ndugu Polepole, kitendo cha kuendelea kuwa ndani ya CCM isiyotaka katiba mpya yenye mzizi mkuu kwenye rasimu ya warioba na kitendo cha kuendelea kumsapoti rais Magufuli aliyegoma katakata kutupa katiba mpya japo ilikuwemo kwenye ilani ya uchsguzi ya CCM ya mwaka 2015 maana yake unashiriki dhambi ya kuwanyima wananchi katiba mpya wanayoitaka.

Ndugu Polepole ulizunguuka nchi nzima kuwaeleza wananchi hatari ya madaraka makubwa ya rais, ukafikia hatua ukasema rais ana madaraka ya kuwapoteza watu wote waliomo ukumbini, (wale waliokuwa wanakusikiliza) na asifanywe kitu!.

Sasa ndugu Polepole, kama hilo unalitambua kwa nini uko kwenye Chama na unamnadi mtu ambaye hataki katiba mpya ili aendelee kutawala kwa kutumia katiba mbaya ambayo ni hatari kwa ustawi na mustakbali wa Taifa hili?

Ndugu Polepole mbona ulishiriki kutungisha mimba ya katiba mpya na baada ya mimba kutunga unakuwa msitari wa mbele kumtaka Mama Tanzania aitoe hiyo mimba?

Ndugu Polepole kama unaamini watanzania wanataka mabadiriko na kama unaamini kuwa katiba mpya ni chachu kuu ya mabadiriko ya kweli basi toka huko CCM uje uungane na upinzani ili tuweze kurudisha rasimu ya katiba mpya ya Genius Jaji Warioba

Hapa chini ni video yako ukielezea hatari za madaraka makubwa ya rais kwa mujibu wa katiba hii ya sasa ya kidikteta iliyopitwa na wakati

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,339

Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka kuielezea na kuifundisha kwa wananchi, na kwa kwNaNa akitokaeli wananchi walikupokea vizuri, walikupenda sana kwa jinsi ulivyokuwa ukidadavua issues zao nyingi njema kabisa katika katiba hiyo.

Ulizungumza uwezeshaji wa wanawake katika vyombo vya maamuzi kwa mujibu wa rasimu hiyo - Wanawake walifurahishwa sana

Ulizungumza uwezeshaji wa wananchi katika kuwa na nguvu zaidi za kuwaweka viongozi wao madarakani, kwa mfano rasimu ilitaka teuzi za rais kama vile mawaziri zithibitishwe na bunge.

Ulizungumzia jinsi muundo wa sasa wa muungano unavyoibana Zanzibar na ukaelezea jinsi vyombo mbalimbali vya serikali wakiwemo makatibu wakuu kupitia kamati yao, ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi jinsi wanavyotaka muundo wa serikali tatu au unaoshabihiana na serikali tatu.

Sasa Ndugu Polepole, Wananchi wa Tanzania wanataka katiba mpya, na kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa katiba mpya ni CCM, na kinara wa vikwazo vya katiba mpya ni rais Magufuli.

Kwa hiyo basi wewe ndugu Polepole, kitendo cha kuendelea kuwa ndani ya CCM isiyotaka katiba mpya yenye mzizi mkuu kwenye rasimu ya warioba na kitendo cha kuendelea kumsapoti rais Magufuli aliyegoma katakata kutupa katiba mpya japo ilikuwemo kwenye ilani ya uchsguzi ya CCM ya mwaka 2015 maana yake unashiriki dhambi ya kuwanyima wananchi katiba mpya wanayoitaka.

Ndugu Polepole ulizunguuka nchi nzima kuwaeleza wananchi hatari ya madaraka makubwa ya rais, ukafikia hatua ukasema rais ana madaraka ya kuwapoteza watu wote waliomo ukumbini, (wale waliokuwa wanakusikiliza) na asifanywe kitu!.

Sasa ndugu Polepole, kama hilo unalitambua kwa nini uko kwenye Chama na unamnadi mtu ambaye hataki katiba mpya ili aendelee kutawala kwa kutumia katiba mbaya ambayo ni hatari kwa ustawi na mustakbali wa Taifa hili?

Ndugu Polepole mbona ulishiriki kutungisha mimba ya katiba mpya na baada ya mimba kutunga unakuwa msitari wa mbele kumtaka Mama Tanzania aitoe hiyo mimba?

Ndugu Polepole kama unaamini watanzania wanataka mabadiriko na kama unaamini kuwa katiba mpya ni chachu kuu ya mabadiriko ya kweli basi toka huko CCM uje uungane na upinzani ili tuweze kurudisha rasimu ya katiba mpya ya Genius Jaji Warioba

Hapa chini ni video yako ukielezea hatari za madaraka makubwa ya rais kwa mujibu wa katiba hii ya sasa ya kidikteta iliyopitwa na wakati

View attachment 1589866
Akitoka tuna mpeleka cuf,halafu nccr na pengine tlp kwa uangalizi Kama akili zimekaa sawa ,kabla ya kutufanyia jukumu Hilo muhimu.
 
makaghari

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
476
500
Kuchagua upinzani ni kuchagua vit,wengine wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu

Tunaendelea kuiamini Ccm kwa miaka miamoja ijayo kwani imetuletea amani, upendo, huduma bora za kijamii nk

Asante Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania kwa kuipeleka Tanzania katika uchumi wa kati
Wizi wote mkubwa ndani ya nchi hii wa pesa na rasilimali umefanywa na watendaji na wanachama wa chama Cha Mapinduzi tangu Uhuru mpaka leo. Utawaaminishaje watu kwamba wapinzani watatumiwa kuiba Mali zetu?

Huenda siasa ya nchi umeanza kuifuatilia majuzi ulipoanza kutumia smart phone. Wananchi wataamua huu uchaguzi wamjaribu yeyote kutoka upinzani. Hata Kama atakuwa mwizi, hawezi iba kwa kiwango ambacho viongozi wa CCM wametuibia tangu Uhuru Hadi leo.

Hata Kama wapinzani hawatafanya la maana iwapo watashika dola zaidi ya kujinufaisha wao it is fine. Acha tutengeneze familia nyingine tajiri nazo zionje "cake" ya nchi, why CCM only.???
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
35,891
2,000
Jamaa si ajabu naye hivi sasa haitaki hiyo katiba mpya

Sio si ajabu, haitaki kabisa. Kuna siku aliulizwa kuhusu hiyo katiba mpya alijibu kinyonge sana kuwa sio kwamba Magufuli anakataa katiba mpya, ila kuna miradi anaimaliza kwanza. Utadhani kazi ya miradiua serikali huwa inasimama! Kwa ujumla Polepole hataki hata kuulizwa maswali ya hiyo katiba mpya, kwake yeye kwa sasa katiba mpya kwake ni Magufuli!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,042
2,000
Sio si ajabu, haitaki kabisa. Kuna siku aliulizwa kuhusu hiyo katiba mpya alijibu kinyonge sana kuwa sio kwamba Magufuli anakataa katiba mpya, ila kuna miradi anaimaliza kwanza. Utadhani kazi ya miradiua serikali huwa inasimama! Kwa ujumla Polepole hataki hata kuulizwa maswali ya hiyo katiba mpya, kwake yeye kwa sasa katiba mpya kwake ni Magufuli!

Hoja yake haina mashiko.

Tangu lini katiba ikazuia miradi ya maendeleo, labda ile ya upigaji kama uwanja wa ndege Chato
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,330
2,000
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba.

Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka kuielezea na kuifundisha kwa wananchi, na kwa kweli wananchi walikupokea vizuri, walikupenda sana kwa jinsi ulivyokuwa ukidadavua issues zao nyingi njema kabisa katika katiba hiyo.

Ulizungumza uwezeshaji wa wanawake katika vyombo vya maamuzi kwa mujibu wa rasimu hiyo - Wanawake walifurahishwa sana

Ulizungumza uwezeshaji wa wananchi katika kuwa na nguvu zaidi za kuwaweka viongozi wao madarakani, kwa mfano rasimu ilitaka teuzi za rais kama vile mawaziri zithibitishwe na bunge.

Ulizungumzia jinsi muundo wa sasa wa muungano unavyoibana Zanzibar na ukaelezea jinsi vyombo mbalimbali vya serikali wakiwemo makatibu wakuu kupitia kamati yao, ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi jinsi wanavyotaka muundo wa serikali tatu au unaoshabihiana na serikali tatu.

Sasa Ndugu Polepole, Wananchi wa Tanzania wanataka katiba mpya, na kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa katiba mpya ni CCM, na kinara wa vikwazo vya katiba mpya ni rais Magufuli.

Kwa hiyo basi wewe ndugu Polepole, kitendo cha kuendelea kuwa ndani ya CCM isiyotaka katiba mpya yenye mzizi mkuu kwenye rasimu ya warioba na kitendo cha kuendelea kumsapoti rais Magufuli aliyegoma katakata kutupa katiba mpya japo ilikuwemo kwenye ilani ya uchsguzi ya CCM ya mwaka 2015 maana yake unashiriki dhambi ya kuwanyima wananchi katiba mpya wanayoitaka.

Ndugu Polepole ulizunguuka nchi nzima kuwaeleza wananchi hatari ya madaraka makubwa ya rais, ukafikia hatua ukasema rais ana madaraka ya kuwapoteza watu wote waliomo ukumbini, (wale waliokuwa wanakusikiliza) na asifanywe kitu!.

Sasa ndugu Polepole, kama hilo unalitambua kwa nini uko kwenye Chama na unamnadi mtu ambaye hataki katiba mpya ili aendelee kutawala kwa kutumia katiba mbaya ambayo ni hatari kwa ustawi na mustakbali wa Taifa hili?

Ndugu Polepole mbona ulishiriki kutungisha mimba ya katiba mpya na baada ya mimba kutunga unakuwa msitari wa mbele kumtaka Mama Tanzania aitoe hiyo mimba?

Ndugu Polepole kama unaamini watanzania wanataka mabadiriko na kama unaamini kuwa katiba mpya ni chachu kuu ya mabadiriko ya kweli basi toka huko CCM uje uungane na upinzani ili tuweze kurudisha rasimu ya katiba mpya ya Genius Jaji Warioba

Hapa chini ni video yako ukielezea hatari za madaraka makubwa ya rais kwa mujibu wa katiba hii ya sasa ya kidikteta iliyopitwa na wakati

View attachment 1589866
Chadema wenyewe hamheshimu katiba yenu, msihadae watu kwa Katiba mpya. Chama saccos nani anawaamini tena, mmepoteza ladha kabisa.
 
koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
409
250
Chadema wenyewe hamheshimu katiba yenu, msihadae watu kwa Katiba mpya. Chama saccos nani anawaamini tena, mmepoteza ladha kabisa.
Unapopoteza direction ndio hapo, mada sio CHADEMA ni Katiba mpya. Watanzania tunapopoteza mambo muhimu ya kitaifa kwa kuyafanya ya kisiasa kwa makusudi soo sad.
 
Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,402
1,500
CCM ni genge la wahuni ambalo haliko tayari kutoa madaraka kwa watanzania. Kifupi wametuweka mateka
 
  • Thanks
Reactions: qas

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,402
1,500
Hoja yake haina mashiko.

Tangu lini katiba ikazuia miradi ya maendeleo, labda ile ya upigaji kama uwanja wa ndege Chato
Katiba Mbovu kama tuliyonayo inamfanya rais afanye matumizi mabaya ya fedha, anaweza kufanya chochote. Usiombe itokee aweuke au awe kichaa, atatumaliza
 
  • Thanks
Reactions: qas

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,339
2,000
Chadema wenyewe hamheshimu katiba yenu, msihadae watu kwa Katiba mpya. Chama saccos nani anawaamini tena, mmepoteza ladha kabisa.
Kama ladha ingekuwa imepotea ndani ya chama,hicho Watanzania wasingeona ladha yake,hats Kila mmoja akataka kuionja.
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,856
2,000
Ndugu Polepole
Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba.

Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka kuielezea na kuifundisha kwa wananchi, na kwa kweli wananchi walikupokea vizuri, walikupenda sana kwa jinsi ulivyokuwa ukidadavua issues zao nyingi njema kabisa katika katiba hiyo.

Ulizungumza uwezeshaji wa wanawake katika vyombo vya maamuzi kwa mujibu wa rasimu hiyo - Wanawake walifurahishwa sana

Ulizungumza uwezeshaji wa wananchi katika kuwa na nguvu zaidi za kuwaweka viongozi wao madarakani, kwa mfano rasimu ilitaka teuzi za rais kama vile mawaziri zithibitishwe na bunge.

Ulizungumzia jinsi muundo wa sasa wa muungano unavyoibana Zanzibar na ukaelezea jinsi vyombo mbalimbali vya serikali wakiwemo makatibu wakuu kupitia kamati yao, ofisi ya waziri mkuu, ofisi ya makamu wa raisi jinsi wanavyotaka muundo wa serikali tatu au unaoshabihiana na serikali tatu.

Sasa Ndugu Polepole, Wananchi wa Tanzania wanataka katiba mpya, na kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa katiba mpya ni CCM, na kinara wa vikwazo vya katiba mpya ni rais Magufuli.

Kwa hiyo basi wewe ndugu Polepole, kitendo cha kuendelea kuwa ndani ya CCM isiyotaka katiba mpya yenye mzizi mkuu kwenye rasimu ya warioba na kitendo cha kuendelea kumsapoti rais Magufuli aliyegoma katakata kutupa katiba mpya japo ilikuwemo kwenye ilani ya uchsguzi ya CCM ya mwaka 2015 maana yake unashiriki dhambi ya kuwanyima wananchi katiba mpya wanayoitaka.

Ndugu Polepole ulizunguuka nchi nzima kuwaeleza wananchi hatari ya madaraka makubwa ya rais, ukafikia hatua ukasema rais ana madaraka ya kuwapoteza watu wote waliomo ukumbini, (wale waliokuwa wanakusikiliza) na asifanywe kitu!.

Sasa ndugu Polepole, kama hilo unalitambua kwa nini uko kwenye Chama na unamnadi mtu ambaye hataki katiba mpya ili aendelee kutawala kwa kutumia katiba mbaya ambayo ni hatari kwa ustawi na mustakbali wa Taifa hili?

Ndugu Polepole mbona ulishiriki kutungisha mimba ya katiba mpya na baada ya mimba kutunga unakuwa msitari wa mbele kumtaka Mama Tanzania aitoe hiyo mimba?

Ndugu Polepole kama unaamini watanzania wanataka mabadiriko na kama unaamini kuwa katiba mpya ni chachu kuu ya mabadiriko ya kweli basi toka huko CCM uje uungane na upinzani ili tuweze kurudisha rasimu ya katiba mpya ya Genius Jaji Warioba

Hapa chini ni video yako ukielezea hatari za madaraka makubwa ya rais kwa mujibu wa katiba hii ya sasa ya kidikteta iliyopitwa na wakati

View attachment 1589866
Hivi bado upinzani upo Tanzania kweli?Acheni kujitenga, njoni tuwe kitu kimoja tuijenge nchi yetu.Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu.We cannot afford to be weak.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,339
2,000
Hivi bado upinzani upon Tanzania kweli?Acheni kujitenga njoni tuwe kitu kimoja tuijenge nchi yetu.Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu.We cannot afford to be weak.
Aliyesababisha utengano , naapambane na hali yake, hatuna namna ya kumsaidia zaidi ya kumkumbusha alivyotufikisha hapa.
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,856
2,000
Aliyesababisha utengano , naapambane na hali yake, hatuna namna ya kumsaidia zaidi ya kumkumbusha alivyotufikisha hapa.
Muasisi wa utengano sio yeye mkuu.Waasisi ni wale walioasisi system ya devide and rule,ambao ni mabeberu,kinchi na hata kivyama,let us come back to our senses.Narudia,let us unite and develop our country,utengano hautatusaidia lolote,sana sana it will only underdevelop us.We are stronger in unity.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,339
2,000
Muasisi wa utengano sio yeye mkuu.Waasisi ni wale walioasisi system ya devide and rule,ambao ni mabeberu,kinchi na hata kivyama,let us come back to our senses.Narudia,let us unite and develop our country,utengano hautatusaidia lolote,sana sana it will only underdevelop us.We are stronger in unity.
No unit under opression

No unit under opression.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom