Ripoti ya CAG ya 2019/2020 imepita na madudu yake na tumeshasahau, tunasubiri ya 2020/2021 tupige tena kelele kama mazuzu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua.

Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha.

Hata hiyo ripoti isipotolewa hatutaweka shinikizo lolote kutaka itolewe bali tutaisubiri kama tunavyomsubili Masia.

Wacha wajanja waendelee kula mema ya nchi hii huku sisi wajinga tukisubiri labda kuna siku watashiba.

Ni ile ile.
 
Ripoti ya mwaka huu imevunja rekodi ya mashabiki kwa maana ilikuja ikatumika kama kipunguzo cha stress kwa wale walioamini kuwa mambo yao hayakwenda vizuri kwa sababu ya Mwendazake. So unakuta mdau anakazana kupambana na keyboard pale wakati anapicha ya mwendazake kichwani anatema 'nondo' kwa mwendazake akiwa na mihasira hatari. Ilisaidia
 
Back
Top Bottom