Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana.
Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip...
Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana...
Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii...
Habari Wakuu
Serikali inaendelea na mpango wa kuwahamishia watumishi wake Dodoma, ni mpango wake hatuupingi lakini Serikali hii bado haijajiandaa vya kutosha.
Hivi karibuni kuna Taasisi tena...
Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na...
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli.
Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara...
Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris.
Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan...
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.
Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa...
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
========
MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja...
Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki...
CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia...
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!
Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!
Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi...
SERIKALI imeeleza kuwa waliokuwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano waliostaafishwa kwa maslahi ya Umma Juni,30 1996 hawataliwa pensheni kutokana na masharti yao ya ajira.
Hayo...
Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na...
Tukubali miaka mitano iliyopita kulikiwa na mwanaume mmoja aliyeweza kuwaweka wanaume na wanawake wote chini ya himaya yake bila kufurukuta. Wengine walikaa wakatulia kimya, wengine walibaki...
Rias Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema hatarajii kuona utaratibu tofauti katika CCM tofauti na ule uliozoeleka
Kawaida ndani ya CCM, Rais ndio huwa Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Kikwete...
Mbunge Agnesta Kaiza ametaja ubambikizaji wa kesi nyingi za jinai kuwa sababu mojawapo ya mrundikano katika magereza. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma.
Amefafanua, "Kila leo unasikia fulani ana...
Tunashukuru kwa kutupatia pesa za Muungano nusu kwa nusu na Tanzania. Ubarikiwe sana na tunaomba uendelee kubaki madarakani kwa kipindi kirefu.
Kuna mambo mengine pia tunataka. Utupatie magari ya...
Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka.
Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi...