Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza. CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Mambo Yanayo Endelea Kwanza kabisa yanatoa Taswira ya Aina ya Viongozi wetu walivyo na kutoa Definition ya Mwanasiasa ni Nan Mpaka Sasa naona Ajabu kua Wapinzan Hasa Tundulisu anatoa maneno Makal...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana. Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Tuwekeze kwenye bidhaa mpya zenye thamani kubwa Ili uchumi wetu upande kwa kasi (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nape kama anavyofahamika na wengi ni mtu mpenda sifa na mnafiki. Kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya JPM kufa Nape amekuwa mtu wa kutaka kupima upepo hasa upande wake unapepeaje huku akiamua...
18 Reactions
133 Replies
10K Views
In Tanzania, there’s a high level of incest between political and business elites. That’s to say that business and political elites are one and the same thing. Egypt is a classical case where the...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
"Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu. Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Inashangaza sana, mtangazaji wa EATV, Samsoni Charles ameelezea jinsi alivyokuwa na mawasiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razak Badru mpaka dakika 25 tu zilizopita...
8 Reactions
72 Replies
10K Views
Heri ya sikukuu ya Muungano wandugu? Nashawishika kuandika Uzi huu kwakua naona huku mitaana kuna wasomi wengi sana na wana exposure nzuri sana from abroad. Pia kuna Watanzania wengi sana wapo...
2 Reactions
2 Replies
613 Views
Jifunze kwa kimbunga JOBO. Utajua vile nyakati huja na kupita kwa kasi sana. Mimi ni mmojawapo, mwingine kama yupo ashuhudie hapa. Sikuwahi kuwaza kuwa H.E Samia angekuja kuwa favorite candidate...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu. Mheshimiwa Waziri...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu. Hapa Tanzania mtu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kwamba sasa ni zamu ya Zenji kufaidi matunda ya Muungano, Nimesikia kwamba pesa za Sherehe za Muungano zitagawanywa kwa Tanganyika na Zanzibar.Hii sio tatizo lakini tunataka...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM. Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti. Ramadhan kareem!
5 Reactions
39 Replies
2K Views
KADA wa CCM Apewe Za Kura Za Ndiyo Tuonyeshe Uzalendo Tuonyeshe Upendo Tuonyeshe Mshikamano Tudumishe Umoja Tudumishe Utamaduni Wetu Kura Zote Za Ndiyo Kwa Samia Suluhu Hassani Kura ya Hapana...
-1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom