Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wabunge Wanawake wanataka waonane na rais Samia ili wamueleze jinsi Wapunge Wanaume wanavyowanyanyapaa na kuwanyanyasa kinjisia. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia tiketi ya CCM...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Daktari wa Mtuhumiwa wa kesi ya Uhujumu uchumi(Wizi wa fedha za akaunti ya Escrow), Bw. Singh Sethi ameiambia Mahakama ya Kisutu kuwa Mtuhumiwa huyo amewekewa puto tumboni kutokana na ugonjwa...
5 Reactions
233 Replies
26K Views
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai. Hao watuhumiwa wa...
8 Reactions
113 Replies
15K Views
MOYO WA ASKOFU MWAMAKULA KWA TAIFA Unatafuta kuongoza Kitongoji, Kijiji, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa na hata Taifa. Lakini unapanda miiba njiani ili kuwazuia washindani wako. Unatafuta uteuzi au...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Mheshimiwa Magufuli unakuwa accountable na yanayoendelea Nchini kuhusu Uchumi kuporomoka tatizo lipo kwa kumsikiliza mshauri wako. Mkuu wetu anaye mshauri wa Uchumi ambaye ni Philipo Mipango...
54 Reactions
259 Replies
50K Views
Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Akiwa Katika mjadala mkali na Nape Nnauye, pamoja na Kabwe Zito. Tundu Lisu amesema Mahakama ya sasa Tanzania hasa Majaji waliopo wanahitaji kukombolewa Lisu amesisitiza kwa miaka mitano Mahakama...
26 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wadau..! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa. Binafsi naona kama Tanganyika na...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa? Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio...
6 Reactions
89 Replies
5K Views
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Katika hotuba yote ya rais Samia mbele ya bunge, jambo nililoliona jipya na muhimu sana, ni pale alipoahidi kuzidisha ari ya kuchimba mabwawa ya kuzuia maji Tanzania. Yaelekea serikali kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko. Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa Amesema, "Sitakubali kabisa...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu. Lakini ilipoingia awamu ya tano...
-3 Reactions
41 Replies
3K Views
Hivi Ni kifungu gani kwenye Katiba kinachompa Rais, Mamlaka ya Kufanya reallocation ya Public fund, Huku Matumizi ya fedha za Umma huidhinishwa na Bunge.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna...
9 Reactions
87 Replies
8K Views
1. Wazanzibari ndio wanaonufakika zaidi na muungano kuliko wabara. 2. Viongozi wengi wa sasa hivi hawana maadili wengi ni wezi na wamejaa tamaa za madaraka. 3. Yeye ni Mzanzibari ila ameoa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Uimara na kuendelea kudumu kwa CCM kunatokana na nguvu za dola, nje ya hapo CCM ni chama dhaifu sana. Ndani ya CCM kuna wanachama waganga njaa wengi sana ambao maisha yao nje ya chama...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom