Wadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa...
Nyerere vizazi na vizazi vitamkumbuka kama Mwanzilishi wa Taifa la Tanzania au Tanganyika, kama mtu aliyepigania uhuru wa Tanganyika, hii ni vizazi kwa vizazi wataikumbuka.
Kushinda Vita vya...
Mimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe...
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua...
Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao.
Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa...
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya amesema kumekuwa na 'Double Standard' ambapo mifugo inapoingia hifadhini fidia kubwa hotozwa lakini wanyamapori kama Tembo wanapoenda kuharibu mali za wananchi...
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tangu Bi. Samia ashike hatamu ya kiti cha urais wa nchi, basi kumezuka mengi ya kushangaza, kusisimua na kufurahisha.
Sijui watu wanamuonaje Mama Samia?
Kila mtu...
Wakuu Habari?
Nimesoma pahala kua kenya itapeleka jeshi lake la ulinzi kwenda Congo DRC kusaidia kulinda amani. Rais Kenyatta na Tshekedi wamekua na mazungumzo ya mara kwa mara katika kuboresha...
Rais Samia Suluhu Hassan kwanini aingilie mhimili wa Bunge? Zaidi soma Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli
Leo ni siku ambayo makali ya...
Declaration of interest
*********
Interest 1. Mimi ni moja ya watu wanaoamini kuwa, pamoja na changamoto zake, bado mfumo wa demokrasia ndio mfumo bora zaidi wa kiutawala unaopaswa kufuatwa na...
WAJUE WACHAWI WA RAIS SAMIA.
Kwangu Mimi naamini UCHAWI upo duniani kama ambavyo Mwenyezi Mungu amedhihirisha upo kupitia vitabu vyake vya Bibilia na Qur'an. Kidunia vile vile mimi nautafsiri...
Watanzania wenzangu, nawasalimu katika jina lipitalo majina yote Jina la Yesu.
Chini ya rais wetu Magufuli tuliianza Vita dhidi ya Corona vizuri Sana kwa kumtanguliza Mungu. Tulielekezwa kutubu...
Habarini wana ndugu,
Binafsi ni mgeni katika uwanja huu awali ya yote ningependa kubisha hodi humu ndani. Mada yangu haswa ni kuhusu muungano wetu ambao tumekuwa nao kwa kitambo sasa...
Nime observe striking similarities baina ya Marais walio tangulia mbele za haki kwa Tanzania:
1. Wote ni Marais walio toka upande mmoja wa muungano, Tanzania Bara.
2. Wote walikua wasomi zaidi...
Anajiita Veronica France kule Facebook naona tangu Magufuli afe huyu mtu kaibuka anapambana na Kigogo ambaye anasema ni kina January Makamba, Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na wote ambao wapo...
Niwieni Radhi, mada ni:
Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini.
Nawasilisha.
Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba...
#MFUMO #TATIZO
Kuna mjadala mkubwa unaendelea ktk taifa kwa sasa juu ya ripoti iliyotewa na mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali profesa Assad kila mmoja amejaribu kuchambua kwa muono wake vijana...
Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga...
MBUNGE wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo, amemtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kwamba ametishia kumuua.
Amedai kuwa chanzo cha kutishiwa na mkuu huyo wa wilaya ni kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.