Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,570
2,000
Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu.

Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania huku ukijiamini kabisa na kusema kuwa Umeshuka sana ukilinganishwa na miaka ya nyuma.

Waziri Mkuu Majaliwa mwaka jana hata kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania nilibahatika kukaa na Afisa Mwandamizi Mmoja wa TACAIDS (ila Kimaadili hapa namlinda ) na naomba niyanukuu hapa maneno yake aliyoniambia ambayo Kiukweli kutokana na Uhuni ( Umalaya) wangu yalinifanya tokea aliponiambia hiyo mwaka jana hadi hii leo nijipe Likizo ya lazima ya Kutowabandua ( Kutowatia ) Mademu Kiholela huku nikijikita zaidi katika Kufanya 'Toba' kwa Mungu wangu.

" Kijana Generalist chukua toka Kwangu kuwa kama kuna wakati Maambukizi ya UKIMWI yameongezeka maradufu nchini Tanzania basi ni huu na Binafsi nasikitika mno tu "

Akaendelea....

" Hii Awamu ya Tano ya Rais Dkt. Magufuli imechochea sana kuongezeka kwa haya Maambukizi kutokana na kwamba hali ya Maisha ni ngumu na Dada zetu wanajirahisi kwa Wanaume mbalimbali ili waweze Kukidhi Mahitaji yao ya Kimaisha "

Akaendelea....

" Na si hayo tu hata Kipindi hiki hiki Ongezeko la Watoto wa Kiume hawa Mashoga limekuwa Kubwa ambao nao pia wengi wao wameshaathirika hivyo tatizo kuzidi Kuongezeka nchini hata maeneo mengi ya Mijini na Mikoa mikubwa "

Akamalizia....

" Tunashindwa tu kuweka hili wazi kwa Public kwani tunaogopa tunaweza Kuongeza Hofu lakini pia hatujui Mheshimiwa Rais nae atalipokeaje kwani nae huwa hatabiriki Kimapokeo na Kimtizamo. Nakuomba kuwa makini sana, jilinde na tumia Condoms kwani UKIMWI sasa umeshatapakaa na kuongezeka Tanzania "

Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa Mimi Generalist sisemi kuwa usiiamini hiyo Ripoti yako uliyopewa na kuitoa Leo ila Kinachonishangaza mpaka Kimenishtua na kuamua kuja na huu Uzi wangu ni kwamba Watu hao hao huko Serikalini na Taasisi yao waliokuambia UKIMWI umepungua ndiyo hao hao wameniambia Mimi kuwa UKIMWI umeongezeka zaidi.

ARV's zimetupa sana Kiburi Watanzania.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
6,909
2,000
Viongozi wa Tanzania kiboko.
Wanakuambia nchi iko uchumi wa Kati wakati watu hawana hela na wengi wanakula mlo mmoja kwa siku. Wafanyakazi wa viwandani hasa vya wachina na wahindi wanapokea chini ya laki tatu. Unaambiwa uchumi wa Kati.
Ukienda Sinza, Mboka Buguruni, sugar Ray na Mbagala ngono Ni buku kwa Mpalange buku mbili...huku unaambiwa ukimwi umepungua.
Leo unaweza ukaambiwa hakuna mvua wakati binafsi inakunyeshea na maji yamejaa ndani kwako.
 
mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
212
250
Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu.

Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania huku ukijiamini kabisa na kusema kuwa Umeshuka sana ukilinganishwa na miaka ya nyuma.

Waziri Mkuu Majaliwa mwaka jana hata kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania nilibahatika kukaa na Afisa Mwandamizi Mmoja wa TACAIDS (ila Kimaadili hapa namlinda ) na naomba niyanukuu hapa maneno yake aliyoniambia ambayo Kiukweli kutokana na Uhuni ( Umalaya) wangu yalinifanya tokea aliponiambia hiyo mwaka jana hadi hii leo nijipe Likizo ya lazima ya Kutowabandua ( Kutowatia ) Mademu Kiholela huku nikijikita zaidi katika Kufanya 'Toba' kwa Mungu wangu.

" Kijana Generalist chukua toka Kwangu kuwa kama kuna wakati Maambukizi ya UKIMWI yameongezeka maradufu nchini Tanzania basi ni huu na Binafsi nasikitika mno tu "

Akaendelea....

" Hii Awamu ya Tano ya Rais Dkt. Magufuli imechochea sana kuongezeka kwa haya Maambukizi kutokana na kwamba hali ya Maisha ni ngumu na Dada zetu wanajirahisi kwa Wanaume mbalimbali ili waweze Kukidhi Mahitaji yao ya Kimaisha "

Akaendelea....

" Na si hayo tu hata Kipindi hiki hiki Ongezeko la Watoto wa Kiume hawa Mashoga limekuwa Kubwa ambao nao pia wengi wao wameshaathirika hivyo tatizo kuzidi Kuongezeka nchini hata maeneo mengi ya Mijini na Mikoa mikubwa "

Akamalizia....

" Tunashindwa tu kuweka hili wazi kwa Public kwani tunaogopa tunaweza Kuongeza Hofu lakini pia hatujui Mheshimiwa Rais nae atalipokeaje kwani nae huwa hatabiriki Kimapokeo na Kimtizamo. Nakuomba kuwa makini sana, jilinde na tumia Condoms kwani UKIMWI sasa umeshatapakaa na kuongezeka Tanzania "

Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa Mimi Generalist sisemi kuwa usiiamini hiyo Ripoti yako uliyopewa na kuitoa Leo ila Kinachonishangaza mpaka Kimenishtua na kuamua kuja na huu Uzi wangu ni kwamba Watu hao hao huko Serikalini na Taasisi yao waliokuambia UKIMWI umepungua ndiyo hao hao wameniambia Mimi kuwa UKIMWI umeongezeka zaidi.

ARV's zimetupa sana Kiburi Watanzania.
upo sahihi hali ni mbaya dada zetu wanajirahisi sana ...afu ni wasomi na wasio wasomi wote...Yani wanajileta tu afu ni wakali...mi kiukweli nawaepuka bac sometimes naonekana boya mpaka kuna wengine wanani joke ..."ww hata ukifa huna faida,huna demu mtoto wala nn"....Mimi hayo hayanipi pressure sababu nimeamua kumtumikia Mungu so spendi kurudi maisha ya kale, nitatafuta life partner mcha Mungu nioe basi.
 
luck

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,169

Waziri Mkuu Majaliwa mwaka jana hata kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania nilibahatika kukaa na Afisa Mwandamizi Mmoja wa TACAIDS ila Kimaadili hapa namlinda ) na naomba niyanukuu hapa maneno yake aliyoniambia ambayo Kiukweli kutokana na Uhuni ( Umalaya) wangu yalinifanya tokea aliponiambia hiyo mwaka jana hadi hii leo nijipe Likizo ya lazima ya Kutowabandua ( Kutowatia ) Mademu Kiholela huku nikijikita zaidi katika Kufanya 'Toba' kwa Mungu wangu.

" Kijana Generalist chukua toka Kwangu kuwa kama kuna wakati Maambukizi ya UKIMWI yameongezeka maradufu nchini Tanzania basi ni huu na Binafsi nasikitika mno tu "

Akaendelea....

" Hii Awamu ya Tano ya Rais Dkt. Magufuli imechochea sana kuongezeka kwa haya Maambukizi kutokana na kwamba hali ya Maisha ni ngumu na Dada zetu wanajirahisi kwa Wanaume mbalimbali ili waweze Kukidhi Mahitaji yao ya Kimaisha "

Akaendelea....

" Na si hayo tu hata Kipindi hiki hiki Ongezeko la Watoto wa Kiume hawa Mashoga limekuwa Kubwa ambao nao pia wengi wao wameshaathirika hivyo tatizo kuzidi Kuongezeka nchini hata maeneo mengi ya Mijini na Mikoa mikubwa "

Akamalizia....

" Tunashindwa tu kuweka hili wazi kwa Public kwani tunaogopa tunaweza Kuongeza Hofu lakini pia hatujui Mheshimiwa Rais nae atalipokeaje kwani nae huwa hatabiriki Kimapokeo na Kimtizamo. Nakuomba kuwa makini sana, jilinde na tumia Condoms kwani UKIMWI sasa umeshatapakaa na kuongezeka Tanzania "

Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa Mimi Generalist sisemi kuwa usiiamini hiyo Ripoti yako uliyopewa na kuitoa Leo ila Kinachonishangaza mpaka Kimenishtua na kuamua kuja na huu Uzi wangu ni kwamba Watu hao hao huko Serikalini na Taasisi yao waliokuambia UKIMWI umepungua ndiyo hao hao wameniambia Mimi kuwa UKIMWI umeongezeka zaidi.

ARV's zimetupa sana Kiburi Watanzania.
kwani huyo jamaa si ndo yuleyule aliyesema mambo ya VILE huku akijua fika yako HIVI
 
Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,570
2,000
upo sahihi hali ni mbaya dada zetu wanajirahisi sana ...afu ni wasomi na wasio wasomi wote...Yani wanajileta tu afu ni wakali...mi kiukweli nawaepuka bac sometimes naonekana boya mpaka kuna wengine wanani joke ..."ww hata ukifa huna faida,huna demu mtoto wala nn"....Mimi hayo hayanipi pressure sababu nimeamua kumtumikia Mungu so spendi kurudi maisha ya kale, nitatafuta life partner mcha Mungu nioe basi.

Niliwahi kwenda Kupima Ngoma ( UKIMWI ) katika Hospitali moja ambayo Marehemu ( VIP's wengi ) hukogeshwa na ' Kuchambishwa ' Vinyesi vyao vya mwisho mwisho walivyoviacha ' Kimakusudi ' hapa duniani na nilichokutana nacho kule wanakopimia Generalist nitatongoza Mademu ( Wanawake ) wote, ila siyo wa Mwenge, Kawe, Oysterbay, Masaki, Msasani, Goba, Mbezi Beach, Tegeta, Kijitonyama, Makumbusho, Sinza, Ubungo na Mbweni.
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,037
2,000
Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu.

Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania huku ukijiamini kabisa na kusema kuwa Umeshuka sana ukilinganishwa na miaka ya nyuma.

Waziri Mkuu Majaliwa mwaka jana hata kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania nilibahatika kukaa na Afisa Mwandamizi Mmoja wa TACAIDS (ila Kimaadili hapa namlinda ) na naomba niyanukuu hapa maneno yake aliyoniambia ambayo Kiukweli kutokana na Uhuni ( Umalaya) wangu yalinifanya tokea aliponiambia hiyo mwaka jana hadi hii leo nijipe Likizo ya lazima ya Kutowabandua ( Kutowatia ) Mademu Kiholela huku nikijikita zaidi katika Kufanya 'Toba' kwa Mungu wangu.

" Kijana Generalist chukua toka Kwangu kuwa kama kuna wakati Maambukizi ya UKIMWI yameongezeka maradufu nchini Tanzania basi ni huu na Binafsi nasikitika mno tu "

Akaendelea....

" Hii Awamu ya Tano ya Rais Dkt. Magufuli imechochea sana kuongezeka kwa haya Maambukizi kutokana na kwamba hali ya Maisha ni ngumu na Dada zetu wanajirahisi kwa Wanaume mbalimbali ili waweze Kukidhi Mahitaji yao ya Kimaisha "

Akaendelea....

" Na si hayo tu hata Kipindi hiki hiki Ongezeko la Watoto wa Kiume hawa Mashoga limekuwa Kubwa ambao nao pia wengi wao wameshaathirika hivyo tatizo kuzidi Kuongezeka nchini hata maeneo mengi ya Mijini na Mikoa mikubwa "

Akamalizia....

" Tunashindwa tu kuweka hili wazi kwa Public kwani tunaogopa tunaweza Kuongeza Hofu lakini pia hatujui Mheshimiwa Rais nae atalipokeaje kwani nae huwa hatabiriki Kimapokeo na Kimtizamo. Nakuomba kuwa makini sana, jilinde na tumia Condoms kwani UKIMWI sasa umeshatapakaa na kuongezeka Tanzania "

Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa Mimi Generalist sisemi kuwa usiiamini hiyo Ripoti yako uliyopewa na kuitoa Leo ila Kinachonishangaza mpaka Kimenishtua na kuamua kuja na huu Uzi wangu ni kwamba Watu hao hao huko Serikalini na Taasisi yao waliokuambia UKIMWI umepungua ndiyo hao hao wameniambia Mimi kuwa UKIMWI umeongezeka zaidi.

ARV's zimetupa sana Kiburi Watanzania.
Kusagana kwa sasa kumeongezeka pia balaaa
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,513
2,000
Ila ukweli ni kuwa ujio wa Corona umefanya watu wengi kuusahau ukimwi hivyo kujiendea ovyo tu kama mambwa koko. Ngoma ipo na ipo sana,na huu ndiyo ukweli wenyewe,au nasema uongo ndugu zangu?
 
mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
212
250
Niliwahi kwenda Kupima Ngoma ( UKIMWI ) katika Hospitali moja ambayo Marehemu ( VIP's wengi ) hukogeshwa na ' Kuchambishwa ' Vinyesi vyao vya mwisho mwisho walivyoviacha ' Kimakusudi ' hapa duniani na nilichokutana nacho kule wanakopimia Generalist nitatongoza Mademu ( Wanawake ) wote, ila siyo wa Mwenge, Kawe, Oysterbay, Masaki, Msasani, Goba, Mbezi Beach, Tegeta, Kijitonyama, Makumbusho, Sinza, Ubungo na Mbweni.
daah walipoacha kimakusud vp tena dadavua kidogo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom