Tuwekeze kwenye bidhaa mpya zenye thamani kubwa Ili uchumi wetu upande kwa kasi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,214
Tuwekeze kwenye bidhaa mpya zenye thamani kubwa Ili uchumi wetu upande kwa kasi

(GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile.

Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali.

Tuzalishe bidhaa zifuatazo
1. Natural Gas, LNG:
2. Kemikali: Kemikali zinazotokana na gesi mfano ammonia, Sulphuric acid, mbolea mbalimbali, methanol, n.k:
3. Helium:

4. Madini ya Lithium kwaajili ya beteri

5. Madini ya Nickel

6. Madini Cobalt

7. Madini ya platinum

8. Madini ya Chromium

9. Madini ya Manganes

10. Madini ya Copper

11. Nishati (tuzalishe nishati kwa wingi tuwezavyo tuuze kwenye mataifa mbalimbali).

Tukiuza bidhaa hizo zenye thamani tutapata fedha nyingi zitakuza GDP yetu, mwishowe tutajikuta tunaacha kutoza kodi. Lakini hatuwezi kuacha kutoza kodi kwasasa kwasababu hatuna vyanzo mbadala vya mapato ya uhakika ya kuaminika ambayo yanaweza kufinance miradi yetu ya maendeleo na huduma za jamii katika taifa letu.

Hivyo tuweke mikakati huko kwenye bidhaa mpya. Nilikua nikimsiliza Dr. Askofu Kwajima amezungumzia kuhusiana na rasilimali watu ambazo ndio nyenzo muhimu kwenye kuzalisha hizo bidha mpya.

Sasa angalia TANZANIA tumesomesha wataalam wa madini, wataalam wa mafuta na gesi, cha ajabu wote ni jobless, wapo tu watu wanazeeka na maarifa na uwezo wao.

Kampuni ya serikali inaajiri wataalam wawili ndio wazalishe bidhaa mpya, yaani hao ndio walete impact kwenye industry kweli. Lazima tuwe serious tukitaka kufikia uchumi tunaoutaka.

Serikali imesomesha wataalam wa mafuta na gesi wote jobless kwanini isiajiri wataalam hao watafute mafuta na hizo gesi kwa wingi. Badala yake serikali imebaki na wataalam wazee wanakaa tu ofisini no impact in the industry, ajiri vijana waliotoka shule wafanye kazi.

Mwisho: Niwaombe Serikali mwaajiri wataalam wote wa mafuta na gesi mliowasomesha kwa mbwembwe tangu 2013 waanze kufanya kazi kwenye uchumi wa mafuta na gesi. Vijana wetu wanazeekea mitaani hawana kazi za kufanya. Mbaya zaidi vitu walivyosomea huwezi kuvitumia mahali pengine popote kwasababu wamespecialize.

Sekta ya mafuta na gesi imesimama hakuna ubunifu wowote maana watu niwalewale wanashinda tu maofisini, they can not innnovate.

Tangu mwaka 1977 wameshindwa Kugundua mafuta, tatizo sio teknolojia wala ukosefu wa mtaji. Tatizo nikuendelea kushikilia watu walewale wanawaza kujaza matumbo yao. Hizi sekta zinahitaji akili changa akili zenye high thinking ability na sio akili zinawazowaza mishahara mikubwa badala ya maslahi ya taifa.
 
Umeandika mambo mengi pengine la muhimu ni ushauri wako kwa serikali kujikita katika uchimbaji wa hayo madini na gas ili kukuza pato la taifa. Hayo mengine kama serikali kuacha kutoza kodi ni wish for thinking maana haitakaa itokee pengine katika generation yako.
 
Tuwekeze kwenye bidhaa mpya zenye thamani kubwa Ili uchumi wetu upande kwa kasi

(GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile.

Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali.

Tuzalishe bidhaa zifuatazo
1. Natural Gas, LNG:
2. Kemikali: Kemikali zinazotokana na gesi mfano ammonia, Sulphuric acid, mbolea mbalimbali, methanol, n.k:
3. Helium:

4. Madini ya Lithium kwaajili ya beteri

5. Madini ya Nickel

6. Madini Cobalt

7. Madini ya platinum

8. Madini ya Chromium

9. Madini ya Manganes

10. Madini ya Copper

11. Nishati (tuzalishe nishati kwa wingi tuwezavyo tuuze kwenye mataifa mbalimbali).

Tukiuza bidhaa hizo zenye thamani tutapata fedha nyingi zitakuza GDP yetu, mwishowe tutajikuta tunaacha kutoza kodi. Lakini hatuwezi kuacha kutoza kodi kwasasa kwasababu hatuna vyanzo mbadala vya mapato ya uhakika ya kuaminika ambayo yanaweza kufinance miradi yetu ya maendeleo na huduma za jamii katika taifa letu.

Hivyo tuweke mikakati huko kwenye bidhaa mpya. Nilikua nikimsiliza Dr. Askofu Kwajima amezungumzia kuhusiana na rasilimali watu ambazo ndio nyenzo muhimu kwenye kuzalisha hizo bidha mpya.

Sasa angalia TANZANIA tumesomesha wataalam wa madini, wataalam wa mafuta na gesi, cha ajabu wote ni jobless, wapo tu watu wanazeeka na maarifa na uwezo wao.

Kampuni ya serikali inaajiri wataalam wawili ndio wazalishe bidhaa mpya, yaani hao ndio walete impact kwenye industry kweli. Lazima tuwe serious tukitaka kufikia uchumi tunaoutaka.

Serikali imesomesha wataalam wa mafuta na gesi wote jobless kwanini isiajiri wataalam hao watafute mafuta na hizo gesi kwa wingi. Badala yake serikali imebaki na wataalam wazee wanakaa tu ofisini no impact in the industry, ajiri vijana waliotoka shule wafanye kazi.

Mwisho: Niwaombe Serikali mwaajiri wataalam wote wa mafuta na gesi mliowasomesha kwa mbwembwe tangu 2013 waanze kufanya kazi kwenye uchumi wa mafuta na gesi. Vijana wetu wanazeekea mitaani hawana kazi za kufanya. Mbaya zaidi vitu walivyosomea huwezi kuvitumia mahali pengine popote kwasababu wamespecialize.

Sekta ya mafuta na gesi imesimama hakuna ubunifu wowote maana watu niwalewale wanashinda tu maofisini, they can not innnovate.

Tangu mwaka 1977 wameshindwa Kugundua mafuta, tatizo sio teknolojia wala ukosefu wa mtaji. Tatizo nikuendelea kushikilia watu walewale wanawaza kujaza matumbo yao. Hizi sekta zinahitaji akili changa akili zenye high thinking ability na sio akili zinawazowaza mishahara mikubwa badala ya maslahi ya taifa.
Hayo yote niliyasikia kwenye kinywa cha hayati JPM ila hawa tuliobakia nao sidhani kama wana maono ya namna ile!
 
Back
Top Bottom