Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
 
Kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa bungeni atalazimika kujiuzulu.

Unauliza mavumbi stoo
 
Unaongea as if samia kazawaliwa juzi na jana akawa Rais, kwamba yy hajui anything
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
 
Kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa bungeni atalazimika kujiuzulu.
Wewe huwajui CCM wewe. Speaker Ndugai ana wigo mpana wa kuwachachafya CHADEMA. To start with, anaweza kusema simply yeye anafanyia kazi barua aliyopokea. Kama CHADEMA wanasema ile ni fake, waende Mahakamani kufungua kesi ya jinai.

Speaker hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Kama hujui vitu vingine kaaga kimya. Wabunge viti maalumu hawazalishi ruzuku yoyote kwenye vyama.
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Ruzuku haitokani na akina Halima Mdee na wenzake bali inatokana na kura za wananchi walizoipigia Chadema.

Hizo nafasi ni za wananchi kupitia Chadema hivyo Halima Mdee na wenzake ni wahujumu uchumi, sema kibongobingo ndio wanadunda lakini hata hapo jirani Kenya hawa wasingethubutu kulisogelea bunge!
 
Wewe huwajui CCM wewe. Speaker Ndugai ana wigo mpana wa kuwachachafya CHADEMA. To start with, anawesa kusema simply yeye anafanyia kazi barua aliyopokea. Kama CHADEMA wanasema ile ni fake, waende Mahakamani kufungua kesi ya jinai.

Speaker hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hakuna mtu aliyekuwa na nguvu CCM kama Lowassa lakini alijiuzulu.

Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa by JK - Chato
 
Hivi unafikiri mbowe anaweza kukataa ruzuku inayotokana na akina mdee? Kingine ndani ya chadema ni nani msemaji? Maana Lisu anajisemea na kuweka masharti ya kwenda kuonana na mh. Rais, mbowe yupo kmy, wala Mnyika ambaye ni KM naye kmy. Kabla ya kuanza kuropoka Lisu angejadiliana na viongozi wenzake ili wawe na msimamo moja.. lisu anakataa kupeleka agenda za kwenda kuongea na mh. Raiskwa Shibuda ambaye ni mkt wa vyama vya upinzani km nani? Ameshauriana na wenzake? Tukisema upinzani wa tz ni ovyo, TUNAMAANISHA.. masuala madogo km haya yanaishusha hadhi chadema mbele ya wananchi.
Hivi kwa kutumia common sense tu ya kawaida we unaona ni sawa kabisa Chadema kupeleka agenda zao kwa Shibuda? We unamjua Shibuda na historia yake?

Badala ya kupeleka agenda kwa Shibuda azichuje ni bora na mkutano wenyewe usiwepo tu
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Una taka kusema Rais Samia hajui kilichotokea hadi wabunge hao wapo Mjengoni?
 
Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu.

Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni ubinafsi?

Je, J J Mnyika atafunguka?

Ngoja tuone.
Bado posho hajakamilika?
 
Hivi kwa kutumia common sense tu ya kawaida we unaona ni sawa kabisa Chadema kupeleka agenda zao kwa Shibuda? We unamjua Shibuda na historia yake?

Badala ya kupeleka agenda kwa Shibuda azichuje ni bora na mkutano wenyewe usiwepo tu
Nakubaliana nawe kwa 100%
 
ata akimweleza haitakuw na impact, lbd tu warudi wayajenge ndan ya chama!
 
Hakuna mtu aliyekuwa na nguvu CCM kama Lowassa lakini alijiuzulu.

Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa by JK - Chato
Nadhani scenario mezani ni eti Speaker kuziuzulu baada ya akina Mbowe kwenda kulalamika kwa Mama. It will not happen. Mark this post.

Hayo mengine ya Lowassa kujiuzulu ni nje ya scope hii
 
Job atamaliza nngwe hii halafu hatagombea tena. Akigombea anaweza kushindwa na akishinda hatapata uspika. Busara ni kujistaafia na kula mafao mazuri tu ya uspika mstaafu.
Tulia hatapewa uspika. Akigombea ubunge kuna uwezekano mkubwa anaweza kushindwa. Akiteuliwa au akishinda hatapewa uspika maana Tulia=Job.

Amandla...
 
Sure hawa ni wahujumu uchumi wakubwa wa nchi yetu kabisa
 
Back
Top Bottom