Makonda is a good leader, sema kupenda sifa na kujipandisha ndio kunamwangusha sana

Kimbakuli

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
405
427
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
 
Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi. Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
Kiongozi mzuri ni yule anaeheshimu utawala wa sheria kitu ambacho Makonda ameshindwa
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
Haya upesi sana nenda Kwake kampe Mrejesho kuwa umemuanzishia huu Uzi hapa JamiiForums ili Rais Samia ( ambaye nae huwa tupo nae 24/7 hapa ) auone kisha amkumbuke katika Nyadhifa zijazo na Wewe pia akupe Ujira wako kama alivyokutuma na anavyowatumeni humu Mitandaoni sawa?
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
Watu ndio mmeanza hivyo!
Makonda good leader gani mashudu kabisa yale!...

Kuna wengine unasikia wanaanza kumsifia January...eti sijui nini?!

Nchii hii sijui nani katupofua!
 
Haya upesi sana nenda Kwake kampe Mrejesho kuwa umemuanzishia huu Uzi hapa JamiiForums ili Rais Samia ( ambaye nae huwa tupo nae 24/7 hapa ) auone ili amkumbuke katika Nyadhifa zijazo na Wewe pia akupe Ujira wako kama alivyokutuma na anavyowatumeni humu Mitandaoni sawa?
Hujanielewa labda, ebu rudia kusoma tena nilichoondika
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
Umeshaweka 'ILA'. Anakuwaje sasa good leader?

Hivi hizi akiki huwa mnapeleka wapi?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
Ukishasema tu... KASORO HIVI AU VILE.. maana yake siyo kiongozi mzuri
 
Nakuelewa sana but kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa
Kama ukishindwa kuheshimu kidogo ulichonacho, huwezi kuheshimu kikubwa, Makonda hakuheshimu nafasi alokua nayo badala yake aliitumia kukandamiza wengine na alivukamipaka yake, that means ni tabia yake na hawezi kubadilika, tusirudie kosa, wapo watu wengi wema, weledi, wenye utu nawanaoheshimu utawala wa sheria, tuwape nafasi
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
kwamaana hiyo to cut a long story short ni kwamba hafai kuwa leader
 
Makonda not smart, afungue banda la chips tuu au atafute kazi kama wengine uongozi hawezi ameumiza wengi sana kwa ujinga na misifa
 
Muuaji hawezi kuwa kiongozi hata kwa dakika moja. Kwenye nchi za utawala wa sheria Bashite alistahili kuwa lupango.
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.
 
I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.

Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya uongozi ya mteuzi wake, he was a different Makonda from that we used to know. Majority ya WanaDaresalaam walimchukia kutokana na kupenda sifa na kutojali maoni ya wananchi.

Alikuja na campaingn kadha wa kadha zisizo na kichwa wala miguu, alidharau viongozi wenzake kisa tu yeye alikuwa karibu sana na mteuzi kuliko wenzie lakini mwisho wa siku mteuzi wake na yeye akamuona hana maana na akaachana nae.

Leo jina lake lililokuwa halikosekani kwenye vyombo vya habari kila siku halisikiki tena, kifupi ndugu yangu hayupo tena kwenye ramani za siasa nchini. Atafanya juhudi za kurudi tu no matter what but endapo atarudi kwenye ramani za siasa nchini mwambieni awe Makonda wa Awamu ya nne sio yule wa awamu ya tano

Kazi iendelee.

MAKONDA ANAJIPIGIA DEBE!!!
 
Unajua kazi ya uongozi inahitaji uzoefu pia km kada zingine, makonda ana uzoefu na siasa so cv yake ni nzuri kulinganisha na mtu ambae ndo anaanza. Ata km hatateuliwa lakini kuna siku atagombea mahali na atapita na atarudi kwnye siasa tu. Mark my words
 
-3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom