Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza la Mawaziri la JPM? Kwamba inawezekana kosa la kutokuvunja Baraza baada ya Samia kuapishwa ni kubwa sana ukifuatilia hitimisho lake la kimantiki?
Ni kweli Katiba inatofautisha kuapa kinachotokea baada ya Rais aliyeshinda Uchaguzi kuapa na kile kinachotokea baada ya Makamu anayekuwa Rais baada ya mtangulizi wake kushindwa kuendelea madarakani?
The failure to dissolve the cabinet following the swearing of President Samia could be declared categorically and emphatically to be the worst constitutional blunder in our history.