Nakusalimu tena kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama yangu!
Ni nadra sana Mimi Lord Denning kuandika nyuzi mbili humu ndani Ila leo imebidi nikuandikie humu maana nimegundua kuwa wewe...
Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga...
Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine...
Nchi yetu ilipopata uhuru mwaka 1961 ilikuwa ni nchi ya vyama vingi mpaka mwaka 1965 Nyerere alipoamua kuifanya nchi ya chama kimoja kwa takribani miongo mitatu. Hatimaye vyama vingi vilirejeshwa...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Zanzibar ipo tayari kuendelea kuimarisha mahusiano yake na nchi ya Marekani ili kufikia malengo ya...
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya...
Habari wadau!
Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah.
Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya?
Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa...
Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana...
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick...
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Failure of the organisation is failure of the management. Failure of a nation is failure of the leadership, and vice versa.
Kama nchi itaendelea kuwepo kwenye mkwamo wa sasa, au ikaenda kwenye...
Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU...
Wakuu.
Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa.
Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha.
Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini?
1.Wanachama na viongozi...
Hili ndilo jambo la msingi ambalo litaifanya Ccm iendelee kuwa chama dola hapa nchini Tanzania. Sababu ni kuwa wapinzani nchini Tanzania hawajitambui na na hawako kwa ajiri ya maslahi ya...
Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile...
Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.