Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
2,593
3,148
Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.

Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.

Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.

Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.
 
Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na karamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.

Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu hapa nyuma ana neno, akaita Mizengo. Baada ya Mizengo kumuombea kura Samia kilichofuata ni kuanza kupiga kura.

Naona aliona huyu ataanza kujitetea na maneno kibao huku akiomba maji ya kunywa kama ilivyokuwa kwenye mazishi ya Magufuli Chato.

Hakika siasa ni mchezo mtamu tena wenye timing nyingi sana. Leo mla timing (Jakaya) kaliwa timing kwelikweli.
Kwani alikuwa kwenye ratiba kwamba ataongea akaondolewa?.
 
Ni mpumbavu Pekee anayeamini kuwa Jk ana uwezo wa kupotezewa na Mangula ndani ya CCM.
Sisi tunaomfahamu mzee kikwete tunaamini kwa Sasa hakuna mwana Siasa mashuhuri aliyesalia ndani ya nchi Kama JKM,yote yaliyotokea mpaka Samia kawa raisi yeye amehusika kwa kiasi kikubwa,hapendi kujionesha.

Utawala wa mama Samia is like the reborn of JKM's Regime!utaamini hili after few years to come.
 
.
IMG_20210301_093020.jpg
 
Jk huyu jamaa ni Nguli wa Siasa
 
Kuna watu akili hata hamna, hivi unadhani anayesimamia show yote ni nani? Wakina JK si ndio walimpeleka SA Mangula kutibiwa baada ya kupewa Sumu kwa msimamo wa kutaka haki itendeke kwa Membe?

Angalia teuzi za Mama na Hata hizi za Chama. Angalia hata walinzi wa Mama, kuna dada mpya hapo unajua alikuwa wapi kabla.

Unafikiri CCM wanakurupuka hapo hapo mkutanoni yani hawakupanga nani aongee? Hata Pinda mwenyewe aliyoongea amepewa aongee au unadhani kweli Mama kapata 100%.
Mama hajapata100%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom