Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018. Lissu...
10 Reactions
136 Replies
12K Views
Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina...
36 Reactions
100 Replies
8K Views
" Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na...
4 Reactions
59 Replies
9K Views
Mh Rais Samia Suluhu Hassan ... Waswahili walisema kufa kufaana! Tunaomba baada ya kumpumzisha aliyekuwa Rais wa JMT , Hayati JPM basi mapema kabisa na kwa haraka muagize mkaguzi mkuu wa hesabu...
14 Reactions
54 Replies
10K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Mei Mosi ni siku ya Wafanyakazi Duniani kote ambapo kitaifa imeongozwa na Rais wa sita awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana usiku nimepata ndoto ya kutisha sana kuhusu Tanzania ya kesho. Matukio muhimu katika ndoto hii. 1. Rais anafanya kazi nzuri kwa baadhi ya maeneo ila kumekuwa na utengano mkubwa baina ya...
11 Reactions
138 Replies
15K Views
Ni mwanasiasa gani hapa nchini anaweza acha ubunge ndani ya chama tawala akaenda chama cha upinzani ndani ya utawala wa kidicteta? Ni mbunge gani wa CCM angeweza kwenda Kumjulia hali Tundu lissu...
29 Reactions
41 Replies
4K Views
Unaweza usiamini kinachotokea , lakini taarifa za uhakika kutoka Mkoani Singida ni kwamba tayari mkakati wa Nyalandu na wazalendo wengine ni kuiteketeza ccm mkoani Singida na kwamba mpaka mtoa...
37 Reactions
89 Replies
9K Views
Matumaini ilikuwa kupanda mishahara, haikuwa hivyo lakini Kuna sababu maana Mwendazake alivuruga uchumi mpàka 4.7 growth. Kilichonipa faraja ni kutofokewa, kutukanwa , kukejeliwa na kuwapiga...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale! Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate...
28 Reactions
102 Replies
8K Views
MTATIRO AIPA RUWASA WIKI MBILI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, ameipa Mamlaka ya Maji Vijijini (RUWASA) wilayani Tunduru na mkoani Ruvuma kuhakikisha imeanza upembuzi yakinifu ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wafanyakazi wapo nchi nzima. Mama Samia angekuwa mgeni rasmi Mwanza. Majaliwa Dodoma Phillip Mpango Mbeya Katibu Mkuu wizara ya kazi Arusha n.k YAANI MNGETAWANYIKA VIONGOZI WOTE NCHI NZIMA...
0 Reactions
5 Replies
768 Views
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi. Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa Uanachama na chadema...
18 Reactions
99 Replies
7K Views
Ni kwamba sote tunajua au tumesha sikia kuhusu habari ya MNARA wa BABELI aidha kutoka kwenye vitabu au makongamano ya DINI Katika historia hilo lipo wazi kuwa mnara ule ulijengwa kwa nia ya...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Kada wa CHADEMA, Lazaro Nyalandu akiwa pamoja na Viongozi wenzake wilayani Tarime, ametumia maandiko matakatifu kujipambanua kurudi upya kisiasa baada ya kukaa kwa muda bila kusikika tangu ahamie...
11 Reactions
102 Replies
12K Views
Wanabodi sijui ni mimi peke yangu au na nyie mnaona, huyu Mama toka ametwaa madaraka amekuwa Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi wake. Hotuba ya Mei Mosi imejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini nchini Tanzania, Lazaro Nyalandu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati baada ya kupata kura 60 kati ya 86 zilizopigwa. Waziri huyo wa zamani...
4 Reactions
58 Replies
8K Views
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index). Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1. Tanzania yote kipimo hiki...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom