CCM kimefungua kurasa mpya ya mabadiliko makubwa ndani ya nchi yetu

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
 
Mshatangazia Umma kuwa rasmi kuanzia leo Polisi,TISS.NEC na Mwendesha Mashtaka hawatakuwa mojawapo za Organ za CCM?
 
Tangu lini mafisi yakabadilika!? 😳😳😳
1619791990250.jpeg

Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
 
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Naona CCM inataka kujitenga na siasa dhalimu zilizoasisiwa na Marehemu za kuua, kuteka na kupoteza watu.

Hongera Samia, hongera wateuliwa. Tuthamini utu na uhai wa kila mtu. Vyama vinapita, uongozi unapita lakini Taifa ni lazima liishi. Taifa ni zile Tunu zetu. Marehemu alifanya jitihada kubwa za kuua Taifa. Tunamshukuru Mungu, bado tuna nafasi ya kulihuisha tena.
 
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Yaani unavishauri hata vyama vingine viige wizi wa ccm?
 
Ila binadamu bwana sijui tumeumbwagaje tu, yaani mama yangu Samia kapata kura zote kabisa tunaambiwa chama kimeonesha demokrasia na mabadiliko makuu vyama vingine vijifunze lakini Mbowe akichaguliwa na wanachama wake wa chadema wakimtaka aendelee midomo ile ile iliyosema mwanzo inasema huu ni udikteta na lazima upingwe

Anyway mnatuvuruga sana sisi ambao hatuna vyama
 
wameanza kufungua leo? watapeli wajinga wajinga. Tangu enzi za Mkapa mnasema haya haya leo hii mnazungumzia madaraja. Tuambie ni lini CCM iliwahi kusema haijafungua?
Mjinga ni wewe unayeabudu mlewa konyagi Dj mwenyekiti wa milele unayedhani ipo siku atakutoa kwenye lindi la umasikini ulionao
 
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Tafuta pesa uishi maisha mzuri na familia yako wanasiasa hawatakusaidia chochote ni wanafiki sana
 
CCM ni ile ile mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani
Katibu Mkuu mpya ndio yule alikuwa anahamasisha wenye mawazo mbadala kuuwawa
 
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.

Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.

Yaani vyama vya upinzani viige kitu kwa ccm? Ni kipi vyama vya upinzani vitaiga kwa hayo majizi ya kura na wauaji? Umoja wa ccm ni kwa ajili ya mlo, na hofu ya kupoteza dola kwa wapinzani, maana wote wataishia jela kwa wizi waliofanya kwenye nchi hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom