TUCTA imekufa?

Hivi ni Katibu mkuu au naibu Katibu mkuu!? Kwa kweli sijui alikuwa na vigezo gani hadi akapata huo wadhifa!
 
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa.

Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali.

Bado anaendelea kuongea....

Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
Mawazo kama yangu, kama mwakilishi ndo huyu Wafanyakazi wasitegemee lolote.
 
Roho imeniuma kwa nini uwanja haujafurika kama ilivo kawaida sio picha mzuri wallahi

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Maumivu yakizidi sana na trust ikivunjika ni ngumu sana kuirudisha kwa ghafla...
Matokeo ya hitimisho la leo ndio aidha itakuwa cheche ya kurudisha moto ymwa matumaini au msumari wa mwisho kwenye jeneza
 
Back
Top Bottom