Wanaharakati Mnashindwa kupiga kelele sasaiv Juu ya India na kirus kipya kabla hakijaingia mnasubir kiingie muanze kupiga kelele za lock down

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar Wana harakat wa jamiforums naomba nitangulize kuomba Radhi kama nitawakwaza kwa ichi nacho taka kuandika

Habar sasaiv Juu ya corona Dunian ipo ila sio kama Ile Ya India sasaiv kila Mmoja anajua kua India mambo sio Mazur mpaka kufikia Baadhi ya Mataifa kuzifungia Ndege za India na Abilia kutoka India kuingia kwenye nchi zao

Je vip sisi. Au tunasubir Mpaka corona Mpya kuingia kutoka India kutua Tanzania ndio Tushtuke na Kuanza kuchukua Hatua.

Mnakumbuka corona Toleo la Kwanza wahind walitupiga Ban?

Mimi Binafs naona nibora tuchukue Hatua Mapema
 
Habar sasaiv Juu ya corona Dunian ipo ila sio kama Ile Ya India sasaiv kila Mmoja anajua kua India mambo sio Mazur mpaka kufikia Baadhi ya Mataifa kuzifungia Ndege za India na Abilia kutoka India kuingia kwenye
Hicho kirusi kimepita huku mwezi March,labda kije kingine
Kelele za corona kwa ni kwa kila mtu achunge afya yake
 
Tatizo sio corona bali ilikuwa Rais Magufuli, na lengo lao limetimia, they don’t care about CORONA na Rais wao kipenzi yuko madarakani and can not be touched
 
Baada ya Magufuli kufariki hizi porojo za corona hazipo kabisa,inshu haikuwa corona bali Magufuli,wanaharakati wa kibongo ni wasaka tonge tu hawana uanaharakati wowote!
 
Tatizo sio corona bali ilikuwa Rais Magufuli, na lengo lao limetimia, they don’t care about CORONA na Rais wao kipenzi yuko madarakani and can not be touched
Chuki binafsi ndo zilikuwa zinawasumbua,sasa hivi huwezi kuwasikia wakiongea chochote!
 
Mimi nahis hata Wana harakat wa umu walikua na maswali yao mana kelele zilikua nyingi
 
Back
Top Bottom