Lazaro Nyalandu awaponda wana-CHADEMA kuwa waoga hata kuvaa magwanda

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_9686.JPG

Kada wa CHADEMA, Lazaro Nyalandu akiwa pamoja na Viongozi wenzake wilayani Tarime, ametumia maandiko matakatifu kujipambanua kurudi upya kisiasa baada ya kukaa kwa muda bila kusikika tangu ahamie CHADEMA. Nyalandu alijifananisha na Batholomeo (kipofu), ambaye aliposikia Yesu akipita alipiga kelele akitaka aponywe.

"Mara baada ya mwaka mmoja, maana watu waliuliza Nyalandu yuko wapi, maana alikuja na halafu akapotea. Nikawaambia watu kulikuwa na saa ambayo ni lazima ifike na hiyo saa ilikuwa jana. Ilikuwa ni mara ya kwanza kuvaa gwanda, kukaa ngangari na kuwa tayari kwa ajili ya hili zoezi."

Nyalandu aliendelea: "Alichokifanya akasikia mkubwa anakuja kama hivi Mbowe. Akakaa barabarani akimsubiri yeye alikuwa kipofu, ukiwa kipofu huoni lakini unaweza kusikia, alikuwa anasikia mambo yanakuja, mageuzi yanakuja akakaa barabarani."

Nyalandu aliisifia CHADEMA ya zamani baada ya kusema kuwa, enzi zake akiwa CCM, walikuwa wakiwaogopa CHADEMA na kupanga mengi ya kupambana nao. "Tukisikia CHADEMA, BAVICHA wanakuja hatulali tunajipanga. Tulikuwa tunawaogopa, tunasema hawa jamaa wanakuja na wanajielewa."

Nyalandu aliwaponda CHADEMA kwa kudai kuwa, kwa sasa wamekuwa waoga tofauti na zamani. "CHADEMA wameanza kuwa waoga tofauti na zamani wakiogopa hata kuvaa sare."

IMG_9685.JPG
 
View attachment 908813
Kada wa CHADEMA, Lazaro Nyalandu akiwa pamoja na Viongozi wenzake wilayani Tarime, ametumia maandiko matakatifu kujipambanua kurudi upya kisiasa baada ya kukaa kwa muda bila kusikika tangu ahamie CHADEMA. Nyalandu alijifananisha na Batholomeo (kipofu), ambaye aliposikia Yesu akipita alipiga kelele akitaka aponywe.
"Mara baada ya mwaka mmoja, maana watu waliuliza Nyalandu yuko wapi, maana alikuja na halafu akapotea. Nikawaambia watu kulikuwa na saa ambayo ni lazima ifike na hiyo saa ilikuwa jana. Ilikuwa ni mara ya kwanza kuvaa gwanda, kukaa ngangari na kuwa tayari kwa ajili ya hili zoezi."
Nyalandu aliendelea: "Alichokifanya akasikia mkubwa anakuja kama hivi Mbowe. Akakaa barabarani akimdubiri yeye alikuwa kipofu, ukiwa kipofu huoni lakini unaweza kusikia, alikuwa anasikia mambo yanakuja, mageuzi yanakuja akakaa barabarani."

View attachment 908810
Nyalandu apewe tu uenyekiti hapo Chadema na Katibu mkuu awe mheshimiwa Sugu muijenge Chadema mpya kama ilivyo CCM mpya!
 
Huyu ni mkweli na sio mnafiki. Hatakaa kwa amani CHADEMA chini ya utawala huu wa Mbowe.

Watu wa aina yake hawapendwi CHADEMA. Anayoyasema tumeshayaandika sana. Lissu pia ameshasema kuwa sasa kuna Group of boys sio men
 
View attachment 908813
Kada wa CHADEMA, Lazaro Nyalandu akiwa pamoja na Viongozi wenzake wilayani Tarime, ametumia maandiko matakatifu kujipambanua kurudi upya kisiasa baada ya kukaa kwa muda bila kusikika tangu ahamie CHADEMA. Nyalandu alijifananisha na Batholomeo (kipofu), ambaye aliposikia Yesu akipita alipiga kelele akitaka aponywe.
"Mara baada ya mwaka mmoja, maana watu waliuliza Nyalandu yuko wapi, maana alikuja na halafu akapotea. Nikawaambia watu kulikuwa na saa ambayo ni lazima ifike na hiyo saa ilikuwa jana. Ilikuwa ni mara ya kwanza kuvaa gwanda, kukaa ngangari na kuwa tayari kwa ajili ya hili zoezi."
Nyalandu aliendelea: "Alichokifanya akasikia mkubwa anakuja kama hivi Mbowe. Akakaa barabarani akimdubiri yeye alikuwa kipofu, ukiwa kipofu huoni lakini unaweza kusikia, alikuwa anasikia mambo yanakuja, mageuzi yanakuja akakaa barabarani."

Nyalandu aliisifia CHADEMA ya zamani baada ya kusema kuwa, enzi zake akiwa CCM, walikuwa wakiwaogopa CHADEMA na kupanga mengi ya kupambana nao. "Tukisikia CHADEMA, BAVICHA wanakuja hatulali tunajipanga. Tulikuwa tunawaogopa, tunasema hawa jamaa wanakuja na wanajielewa."

Nyalandu aliwaponda CHADEMA kwa kudai kuwa, kwa sasa wamekuwa waoga tofauti na zamani. "CHADEMA wameanza kuwa waoga tofauti na zamani wakiogopa hata kuvaa sare."

View attachment 908810
Ndo ulipo fikia kuwaza mkuu.
 
Very correct advice at the right time..... Uoga ni dhambi mbaya Sana....
Muda si mrefu vumbi linaanza kutimka....
CCM maslahi wataanza kutafutan a...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom