Mtangazaji wa ITV kutoka Bungeni hajitambui

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,903
95,182
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa Uanachama na chadema eti ni wabunge wa CHADEMA.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajiri wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
 
Dogo acha kulialia,ulishawahi kimsikia Mbowe anawapinga hao wabunge?
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa uanachama na chadema eti ni wabunge wa chadema.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajili wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
 
Sitashangaa kwani walizoeshwa hayo na wakajisahau,siku chache zilizopita.
 
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa uanachama na chadema eti ni wabunge wa chadema.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajili wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
Mkuu tupe mwongozo , tumfanyeje huyu jamaa ?
 
Ha ha ha. Bado wanapambana kuwasafisha hao Covid, bila shaka huenda anapoozwa kiaina na hao Covid. Si unajua hamna linaloshindikana mkuu
Nikweli maana namuona anakazinia sana tangu jana
 
Juma Kapalatu ambaye ni mtamgazaji anaye ripoti habari za bunge hajitambui au anafanya makusudi.

Tangu jana amekuwa anawatambulisha wabunge wa viti maalumu 19 walio vuliwa uanachama na chadema eti ni wabunge wa chadema.

Hili ni kosa kwa mwana habari kufanya makusudi kupuuza maagizo na maamuzi halali ya chama cha siasa hapa nchini.

Kama atakuwa anatumika na wahusika kwa manufaa yao basi tunamuomba muajili wake amiwajibishe kwa kujihusisha kuvunja kwa makusudi maamuzi ya chama.
Kwa kichwa hiko cha uzi nikadhani amezimia..

Labda analinda ugali kwa kuvunja Katiba ili asifurushwe bungeni na mmiliki wa hao akina mzee Halima, yaani ndugai
 
Back
Top Bottom