beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu
Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"
Amesema Serikali ilifanikiwa kwa awamu ya kwanza lakini ilipokuwa inajiandaa kwa awamu ya pili, Ugonjwa wa Corona ukaingia na kusababisha fedha za makusanyo ya kodi kushuka na kufanya iwe shida hata kulipa mishahara
Amesema Hali ya uchumi ikiimarika Seikali ya Awamu ya Nane itaanza na kada ya kati inayojumuisha Wataalamu mbalimbali wakiwemo Walimu na Watumishi wa Afya ambao amesema wanastahili kufikishwa sehemu nzuri ya mishahara