Eti huyu ni injinia amebadili gari lake lililotumika kubebea spika za kampein kuwa gari la wagonjwa hii ni dharau kwa wapiga kura .
Hivyo vitanda vinaweza vipi kumbebea mama mjamzito kutoka...
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF...
Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya...
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja...
Ndugu waTanzania wenzangu,
Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu...
Kwenu Watanzania wenzangu wa vyama vyote nchini,
Tunayo mengi ya kufanya lakini swala ajira linahitaji kujadiliwa kwa mapana na marefu na Watanzania wote, tusiwaachie wabunge peke yao wanao pokea...
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, Mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa.
Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila...
Kwako Mh.Rais sisi wananchi wa kawaida tunakuombea sana kwa Mungu mwingi wa rehema akuongoze katika kuliongoza taifa letu.
Unapoendelea kupanga safu yako ya kukusaidia kuongoza, natamani kuona...
Nimetafakari sana visa vingi vinavyofanywa na vilivyowahi kufanywa na watawala kwa wananchi wa Tanzania.
Vuta picha askari polisi wanavyonyanyasa raia katika mambo mbalimbali halafu hawarushiwi...
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs.
Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya...
Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha...
Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke.
Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa...
Habar wana JF
Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani
Lakini kwa Rais Magufuli ni...
Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini .
Mvuto wa...
Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona.
Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia?
Mbona George Bush snr hakuliliwa na...