Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama! Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa...
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Hakuna siri tena lile anguko la CHADEMA ambalo lilitabiriwa tangu Dkt. Slaa afanyiwe figisu na kuhama CHADEMA sasa limetimia. Kiuhalisia lazima aliyesababisha anguko hili Watanzania wanatakiwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa...
9 Reactions
201 Replies
17K Views
Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limesema limejipanga kwa vizuri kwa wale wote watakaokuwa na nia ovu ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kampeni za Vyama mbalimbali za Siasa. Akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country...
10 Reactions
172 Replies
18K Views
Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu...
35 Reactions
112 Replies
8K Views
DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Zanzibar imekubali kufanya kazi pamoja na Serikali ya Uingereza katika mapambano dhidi ya uhalifu wa...
1 Reactions
3 Replies
852 Views
RAIS WETU MPENDWA MAMA #SAMIA SULUHU HASSAN NI MZALENDO WA TAIFA HILI, ALIKOTOKA NA ALIPO, TUNAMUAMINI NA TUMUAMINI Fuatana Nami YonaPAVEA Rais Mama #SAMIA SULUHU HASSAN amezaliwa, Amekulia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kijiji cha Hiware Bazar ni kijiji kilichoko wilaya ya Ahmednagar Jimbo la Maharashtra, India. Kijiji hicho kilikuwa na ukame wa kupindukia ambacho watu wengi waliamua kukihama na kukitelekeza...
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Naomba nianze na baadhi ya vituko wanavyo tufanyia wakenya hawa tunaojiita ndugu zetu wa damu, damu gani? Wakenya miaka ya 70 tena kupitia radio na televisheni ya taifa waliwai kumkashfu baba wa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi. Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa...
10 Reactions
66 Replies
7K Views
Salaam JF, Hivi karibuni Mhe. Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni...
29 Reactions
61 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani. Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa...
6 Reactions
70 Replies
8K Views
Habari za wakati huu; Kwanza nieleze kwa uwazi kabisa kwamba huu mjadala ni wa wazi hauna lengo la kubomoa bali unalengo la kujenga. Kati ya mwaka 2016-2019 nilishirika katika utafiti mkubwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom