My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na uhusiano wa kinafiki, ktk hili sina muda wa kulieleza kwa kina kwa sababu lipo wazi kabisa.
Rais wangu, Tasnia ya mahusiano ya Taifa na Taifa inahitaji akili nyingi sana, kwa sababu ktk slogan ya kijasusi kila Taifa la jirani yako ni adui yako, kwa maana ya kwamba linaweza hata kutumika kukupiga na adui wa mbali.
Hii ina maana ya kwamba, tunakuwa majirani na ndugu tusioaminiana kwa kila kitu.
Ktk vinywa vyetu sisi ni marafiki wa kufa na kuzikana, ila ktk uhalisia sisi ni adui.
Rais wangu, Kenyatta ni Rais mwenye akili mno na mwingi wa hekima, kwa nje utamwona kawaida, lakini Kenyatta ni bonge la Intelligent.
Rais wangu, hakuna anayeweza kukueleza ukweli, kwa sababu Chama chenu kina slogan ya kusifia kila kitu, hiyo imefanya hadi idara ya usalama wa Taifa TISS kuwa dhaifu kupindukia.
Rais wangu, hivi unajua kuwa, Kenya kwa miongo mingi mno iliyopita imekuwa ikiitamani sana ardhi ya Tanzania? Unaposema kuwa unawakaribisha Wakenya wawekeze kwenye madini, maana yake ni kwamba unawapa mwanya wa kumiliki ardhi ya Tanzania ili watimize ndoto zao, ktk hili hapana, waite Wa Australia,Wamarekani, Waingereza, Wacanada, lakini siyo Kenya ktk sekta ya madini.
Wakenya na Wachina hawana Tofauti, mimi nimeolea kenya,mke wangu ni mkikuyu, Tulikutana Australia, na wala hajui kuwa jina langu fake ni My Son drink water nawajua vizuri sana hawa watu, hawana Tofauti na Watusi, ukweli unauma ila hauna budi kusemwa.
Rais wangu, ziara yako Kenya ilikuwa ni ya manufaa ya Kenya na si Tanzania, Kenyatta alikuwa ameshafanya calculation nzuri sana, kitaalamu inaitwa,"Pretend that you need them more, while your intention is to suck their Blood".
Sikatai kwamba Wakenya wasiwekeze Tanzania, ila hawa watu ni wajanja kama nyoka.
Message sent and Delivered