Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 602
Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu.
Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi kusikika ana bifu na MH Mkuu wa Wilaya...huyu arobain yake ipo
Mamlaka zimelala hazifanyi yake hasta hili kuendelea na ubadhirifu wa haki na maadili ya utu heshima kwa watumishi. Ukimtafakari hata Yaya wake anakazi kubwa..Hana sifa ya kuwa kiongoz...
Huyu anahamu ya kuondoka kwa kuwa anakiburi yumkini alikitoa enzo za mwendazake..