Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
 
Sasa nimeanza kuhisi huyo mtu huwa anachezea akili za watu, wanaanzisha jambo makusudi, watu waanze kupiga kelele, halafu eti yeye anakuja baadae kuingilia kati, lile suala la korosho liliniachia maswali mengi sana, kama kweli huyo mtu huwa anamaanisha anapotoa maelekezo yake mbele za kamera, au ni kutafuta tu ku_seek public attention, nachelea kumuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamtuhumu kwamba anateka watu halafu eti mnataka huyohuyo aingilie kati 😏😏😏😏
 
Kuna Watu ni wanafiki na upeo wao uko chini mno ! Unaweza ukajizuia usi -comment lakini unashindwa inabidi tu ufanye kitu!
Sasa huyu mleta uzi huu anataka kusema nini au anadhani wengi humu ni wajinga kama yeye! Poor Tanzanian!
 
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Ndugu yangu kwamba ni watekaji ambao hawajulikani?? Kwamba Rais aingilie kati....??? Mzee bado tupo mbali na uhalisia... Igizo vs Tamthilia....
 
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Mobutu Magufuli Seseseko Kuku wa Zobanga wa Tanganyika.
 
Nadhani unakosea ni sawa na kumwambia achunguze shambulio la Lisu
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani unakosea ni sawa na kumwambia achunguze shambulio la Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu, yeye kwa sasa ndio rais whether tunakubali ama tunakataa. Anawajibika kulinda usalama wa hii nchi,Mambo yakiharibika yeye ndio wa kwanza kuulizwa ivo anapaswa yote yasio ya haki yafanyiwe uchunguzi
 
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Heee...... Kwa hiyo hao wanaotekwa si ndio wakina Kigogo2014?
Watu wote wa Iringa wako hatarini kutekwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Tena kwa dharau wanapewa kesi ya kuhujumu uchumi kwa buku mbili tu!!
 
Hivi koroshow msimu hali ikoje sisikii harakati
Sasa nimeanza kuhisi huyo mtu huwa anachezea akili za watu, wanaanzisha jambo makusudi, watu waanze kupiga kelele, halafu eti yeye anakuja baadae kuingilia kati, lile suala la korosho liliniachia maswali mengi sana, kama kweli huyo mtu huwa anamaanisha anapotoa maelekezo yake mbele za kamera, au ni kutafuta tu ku_seek public attention, nachelea kumuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.

Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.

Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.

Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.

Tumuombee Rais wetu kwani majukumu aliyonayo ni mazito.
Unajuaje kuwa huyo unayemwonba aingilie kati, unajuaje kuwa huenda yeye mwenyewe akawa "architect" wa haya yote yanayotokea?
 
Back
Top Bottom