Salaam TRA.
Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi...
Ukiwekeza katika kupata maarifa, ukajituma katika kazi unayoipenda hakuna shaka utaweza kupata heshima katika jamii inayokuzunguka. Kwa wasiofahamu Hoyce Temu ni kati ya watanzania wachache vijana...
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu.
Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji...
Salaam!
Wote tunajua ya kwamba tuko katika transition period ili tufikie jitihada za kureform nchi yetu katika nyanja mbalimbali hususani biashara ambayo mifumo yake imearibiwa ndani ya miaka...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali...
Vijana wa mataga mpate taarifa zenu na msijisahau
Mtetezi wenu na mungu wenu ashakufa huu ni wakati wenu wa kumfuata jee mwajua maana ya kumfuata??nashauri mtumie njia ya kuweza kufika kwa baba...
Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania, na njia alizoweka hadharani kutimiza hilo ni kuwekeza kwenye...
IRINGA: Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, amewaomba radhi Watanzania kufuatia kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya jinsia ya kiume na kuzua taharuki...
Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ameomba kukutana na Rais John Magufuli kwa siri kwa kuwa kuna mambo ambayo hawezi kuyasema hadharani.
Bwire ametoa ombi hilo leo Jumanne Oktoba 31,2017 mbele...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara...
Mambo yanaenda kwa kasi sana.
Vinara wa mbwembwe za kisiasa na lugha yenye lafudhi mwanana ndani na nje ya CCM Prof Kabudi na komredi Polepole wako kimya sana.
Jamani muwe mnajitokeza kwenye...
Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda...
Leo rais anamuapisha Luten jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyeteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ
Mpaka sasa viongozi mbalimbali serikalini wanaendelea kuwasili ukumbini akiwemo makamu wa Rais...
Salaam kwa wote,
Mimi ninamiliki biashara ya car wash maeneo ya Mabibo kwenye barabara ya kuelekea Loyola opposite na Jambo Garden.
Nilikamilisha taratobu za kuomba huduma za Za umeme na...
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za...
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas, amesema Serikali imeagiza treni tano za kisasa ambazo kila moja itakuwa na mabehewa nane ambayo yatasafirisha abiria kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma...
Habari za wakati wanafamilia.
Nianze kwa kusema kuwa ni mda wa kukaa pamoja Kama Taifa bila kuangalia itikadi zetu za vyama.
Niwapongeze pia wapinzani kwa asilimia 💯 wameonesha ustarabu mzuri...
Rais JPM amekuwa na ziara mikoa 3 ya kanda ya ziwa. Mwanza, Mara na Simiyu. Jumamosi akiwa Bariadi amezungumza juu ya mapendekezo ya uteuzi wa RC Antony Mtaka; jambo la wasaidizi wake kumweka...
MNATAKA RAIS SAMIA AWE MKALI NA MBABE, MLIAMBIWA ANAONGOZA MBUZI?
Na, Robert Heriel
Kuna kundi la watu mtandaoni na mitaani wanapiga kelele na kumuona Rais Samia kuwa ni Mpole, wengine wanasema...
Naibu Spika Tulia Ackson amemkosoa Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, kuacha kuaminisha wanafunzi kuwa elimu ya darasa la saba ni bora kuliko elimu ya juu kwa kuwa Serikali inajitahidi...