Kuhusu kujiajiri, mikoa gani ambayo Bado inastahimili mzunguko wa Fedha?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
802
1,000
Salaam!

Wote tunajua ya kwamba tuko katika transition period ili tufikie jitihada za kureform nchi yetu katika nyanja mbalimbali hususani biashara ambayo mifumo yake imearibiwa ndani ya miaka mitano na miezi kadhaa ya awamu ya tano, ambapo tulishuhudia wafanyabiashara wakipandishiwa Kodi na kufilisiwa, na isitoshe wakifungiwa kabisaa account zao za Bank, kitu ambacho kilipelekea wengi wao kukimbilia ughaibuni na kupelekea watu wengi kupoteza ajira na kushuka kwa kasi kwa mzunguko wa fedha.

Lakini Tunamshukuru Mungu kwa awamu ya sita ya Mama Samia, ambapo kuwekuwa na jitihada mbalimbali za kureform na kuokoa jahazi lililoonekana kuzama.

Bado tupo kwenye transition period kufikia hyo reformation ambapo baadhi ya mikoa Bado haina uhai wa uwepo wa mzunguko wa fedha!

Je, ni mikoa ipi, ambayo pamoja na misukosuko ya kiabiashara, lakini imeoonekana kuhimili suala la mzunguko wa fedha??
 

DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,913
2,000
Mikoa inayozungusha bidhaa au Mazao for exportation huwa hela haikauki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom