Ikulu: Rais Magufuli amuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252

Leo rais anamuapisha Luten jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyeteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ

Mpaka sasa viongozi mbalimbali serikalini wanaendelea kuwasili ukumbini akiwemo makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Tayari waliokuwa Mabrigedia Jenerali kumi wamevishwa vyeo vipya vya Meja Jenerali na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi tayari amekula kiapo

Mkuu wa majeshi jenerali Venance Mabeyo anawapangia majukumu mabrigedia jenerali waliopandishwa vyeo
 
Matukio yanayomuhusu Mkulu, TBC wanatuonyesha Live, wakati huo huo mmefuta matangazo Live ya Bunge kwa kisingizio cha gharama kubwa ambayo nyinyi TBC hamuwezi kuimudu!
 
Leo rais anamuapisha Luten jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyeteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ

Mpaka sasa viongozi mbalimbali serikalini wanaendelea kuwasili ukumbini akiwemo makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Tayari waliokuwa Mabrigedia Jenerali kumi wamevishwa vyeo vipya vya Meja Jenerali na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi tayari amekula kiapo

shuguliza kuokoteza tangu link jeshi likatoa hotuba za kisiasa!?
 
Matukio yanayomuhusu Mkulu, TBC wanatuonyesha Live, wakati huo huo mmefuta matangazo Live ya Bunge kwa kisingizio cha gharama kubwa ambayo nyinyi TBC hamuwezi kuimudu!
Sio lazima Bunge kuwa live muda wote....kuna vipindi muhimu vya kuwa live kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom