Wakili wa Law Firm ya Riziwani Aukwaa Ujaji

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nilipita mahali nikamkuta rafiki yangu hakimu akiwa analalamikia upendeleo uliokithiri katika serikali yetu. Kwamba badala ya kuteua watu competent na walioitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa, wanateuana kwa kujuana kwao hata kama yule mteule hana uwezo.

Akasema Riziwani ni mtu ametokea kuwa na nguvu sana nchi hii na anayeweza kuwa karibu nae anaweza kuteuliwa kwa cheo chochote. Akatoa mfano wa Jaji Mujulizi ilitokea Riz kufanya internship Law Firm ya IMMA haikupita siku Mujuliz akaula.

Lililomshtua zaidi ni uteuzi wa jaji Latifa aliyekuwa anafanya kazi chamber ya Riz iliyopo hapo maktaba kuu ya Taifa. Anasema huyo dada mbali na kwamba hana uzoefu wa maana hana uwezo kihivyo ambao ungemwezesha aonekane miongoni mwa wanasheria wazoefu na wenye uwezo mkubwa waliosheheni Tanzania.

Pamoja na kwamba mimi si mwanasheria, niliumizwa sana na tuhuma hizi kwani zinaiua kabisa Tanzania kama tutakuwa tunateua watu kwa vile mtoto wa rais anasema na si kwa vile ana uwezo. Inaumiza sana. Jamani 2015 tuifute CCM katika historia ya nchii ili tyuijenge Tanzania mpya yenye haki kwa wote, yenye kuwapa kazi watu wenye uwezo bila kujali ni nani
 
Makubwa hayo, hadi 2015 hii nchi itakuwa imenyonywa hadi mifupa!
 
Kwani mkuu ulikuwa huna habari kwamba Rz1 anateua mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya? Fuatilia kuna uzi mmoja humu ulikuwa unawataja wakuu wa wilaya walioula kupitia mgongo wa Rz1.
 
tafadhali uwe unafaham unachokisema, wewe na huyo hakim wako inaonekana sifuri kabisa....latifa unamfaham? firm yake ipo mikocheni..no research no right o speak brother.
 
tafadhali uwe unafaham unachokisema, wewe na huyo hakim wako inaonekana sifuri kabisa....latifa unamfaham? firm yake ipo mikocheni..no research no right o speak brother.

hata kama iko mikocheni hana sifa za kuwa jaji....
 
sifa za judge unazifaham? kwa kauli yako tu inaonekana haujui mlolongo wa kuteuliwa kuwa Judge? Unajua yupo katika game miaka mingapi? That lady is competent enough to be a judge.

kusema eti kaajiriwa na ridhiwani mmekosa data na hamjui mnachokisema.
watanzania wenzangu, habari za vijiweni mnazipenda sana, na ndo zinatuharibia, tusiwe na uvivu wa kufikiri tafadhali.
hii threads mods itoeni, ni ya uongo na inapotosha.
 
Nilipita mahali nikamkuta rafiki yangu hakimu akiwa analalamikia upendeleo uliokithiri katika serikali yetu. Kwamba badala ya kuteua watu competent na walioitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa, wanateuana kwa kujuana kwao hata kama yule mteule hana uwezo. Akasema Riziwani ni mtu ametokea kuwa na nguvu sana nchi hii na anayeweza kuwa karibu nae anaweza kuteuliwa kwa cheo chochote. Akatoa mfano wa Jaji Mujulizi ilitokea Riz kufanya internship Law firm ya IMMA haikupita siku Mujuliz akaula. Lililomshtua zaidi ni uteuzi wa jaji Latifa aliyekuwa anafanya kazi chamber ya Riz iliyopo hapo maktaba kuu ya Taifa. Anasema huyo dada mbali na kwamba hana uzoefu wa maana hana uwezo kihivyo ambao ungemwezesha aonekane miongoni mwa wanasheria wazoefu na wenye uwezo mkubwa waliosheheni Tanzania. Pamoja na kwamba mimi si mwanasheria, niliumizwa sana na tuhuma hizi kwani zinaiua kabisa Tanzania kama tutakuwa tunateua watu kwa vile mtoto wa rais anasema na si kwa vile ana uwezo. Inaumiza sana. Jamani 2015 tuifute CCM katika historia ya nchii ili tyuijenge Tanzania mpya yenye haki kwa wote, yenye kuwapa kazi watu wenye uwezo bila kujali ni nani

hakuna ambaye angehoji lolote kutokea kama hili.Jiulize wakati wa kampeni CCM kupata raisi RIZ ndo alibeba mikoba kuzunguka tanzania kama mjumbe wa baraza kuu la u?moja wa vijana, swali alipata wapi fedha hizo za kufanyia kampeni mpka kwa akina mwakyembe?wakati umoja wa vijan uko hoi sana, hauna fedha.Nakwann kama alikuwa na nia njema kiasi hicho asiunde timu wa wanaCCM waliobobea kwenye siasa kufanya hivyo?kwa nn awe yeye pekee?kwataaluma ya sheria na utabibu, uzoefu wa kuchanbua sheria mbalimbali na matumizi yake ni muhimu mno.na pia mazingira ya matumizi yake, yanatofautiana mno.Hivyo uzoefu kwa hili halina ubishi.Ndo maana kuna law school, kuna intern; haya yote ni kujaribu kupata uzoefu.Kwahiyo, kupata jaji mtoto ni jambo la kutisha .hakuna hekima inapatikana utotoni sema, busara inaweza kuzungumzwa na mtoto.Hivyo, kisima cha hekima iliyotukuka, yenye kutoa busara sahihi ,ni lazima ipatikane kwa mtu mzima .Je, hakuna wanasheria wenye uzoefu na wasomi walio na maadili ya kiunasheria wanaweza kuteululiwa kuwa majaji?RIZ anipeleka nchi kubaya na JK anamshabikia tu kwa sababu alimsaidia kumkapemenia na kufinya siri nyingi za ufisadi wao.
 
tafadhali uwe unafaham unachokisema, wewe na huyo hakim wako inaonekana sifuri kabisa....latifa unamfaham? firm yake ipo mikocheni..no research no right o speak brother.
Ambaye hukufanya research ni wewe. Kabla ya kuanzisha hiyo Firm unajua alikuwa wapi au unaweza kunipa historia yake? Ile kwenda kuanzisha firm ilikuwa geresha tu ili asitoke kwa Riz1 moja kwa moja
 
sifa za judge unazifaham? kwa kauli yako tu inaonekana haujui mlolongo wa kuteuliwa kuwa Judge? Unajua yupo katika game miaka mingapi? That lady is competent enough to be a judge.

kusema eti kaajiriwa na ridhiwani mmekosa data na hamjui mnachokisema.
watanzania wenzangu, habari za vijiweni mnazipenda sana, na ndo zinatuharibia, tusiwe na uvivu wa kufikiri tafadhali.
hii threads mods itoeni, ni ya uongo na inapotosha.
Badala ya kutokwa mapovu tuwekee CV ya mhusika hapa kumaliza ubishi.
 
Haya yote yana mwisho. Watoto Wa Hosni Mubarak (Alaa & Gamal) walikuwa na nguvu sana Misri. Gamal alikuwa anaandaliwa kuwa rais mteule wa Misri baada ya baba yake. Mwisho wao ulifika....na juzi tu nimewaona kwenye Al Jazeera(News) wakiwa kwenye cage Kama tumbiri anayesubiri kusafirishwa kwenda Mikumi. Nina Imani kuna siku watasaga meno hawa wa hapa kwetu pia.
 
sifa za judge unazifaham? kwa kauli yako tu inaonekana haujui mlolongo wa kuteuliwa kuwa Judge? Unajua yupo katika game miaka mingapi? That lady is competent enough to be a judge.

kusema eti kaajiriwa na ridhiwani mmekosa data na hamjui mnachokisema.
watanzania wenzangu, habari za vijiweni mnazipenda sana, na ndo zinatuharibia, tusiwe na uvivu wa kufikiri tafadhali.
hii threads mods itoeni, ni ya uongo na inapotosha.
wewe Semenya ni nani hadi useme mod aondoe thread? Umeulizwa unaweza kutuma historia ya Jaji(sic) latifa unayemshabikia? Unajua vigezo gani vimetumika kumteua? Unajua ni nani mwenye mamlaka ya kuteua majaji nchi hii?
 
mbona anatetea sana huyo anayejiita SEMENYA na anataka hii thread itoke au na yeye ameahidiwa kitu nini?
 
Ambaye hukufanya research ni wewe. Kabla ya kuanzisha hiyo Firm unajua alikuwa wapi au unaweza kunipa historia yake? Ile kwenda kuanzisha firm ilikuwa geresha tu ili asitoke kwa Riz1 moja kwa moja

i like jf bhana,wewe ukija na matapish yako watu wanakupa za uso,,,,,saf mdau
 
Haya yote yana mwisho. Watoto Wa Hosni Mubarak (Alaa & Gamal) walikuwa na nguvu sana Misri. Gamal alikuwa anaandaliwa kuwa rais mteule wa Misri baada ya baba yake. Mwisho wao ulifika....na juzi tu nimewaona kwenye Al Jazeera(News) wakiwa kwenye cage Kama tumbiri anayesubiri kusafirishwa kwenda Mikumi. Nina Imani kuna siku watasaga meno hawa wa hapa kwetu pia.

hahahahah,,,,,,tumbili duh
 
Mimi nilichokuwa nakiona tena pengine tusiwaachie CHADEMA kuzunguka nchi nzima pekee yao. Tunaweza kutumia facebook, simu za mkononi n.k. Tunaweza kutumia njia tofautitofauti kuinusuru nchi yetu. Nilikuwa nazungumza na mwanajeshi mmoja kuhusu hali ya uchumi wa nchi na anaonaje mkuu wetu kuteua watu kwa sababu tuu anamjua au anajuana na mwanae akaguna kidogo then akasema tunajipanga. Nadhani itafikia hata mahali wanajeshi wadogo ambao wanaishi kwa shida na adha kubwa wataasi na kuikoa nchi yetu. Unajua katika jeshi wanaolipwa na kula vizuri ni wale wakubwa tuu hawa wadogo bado wana matatizo makubwa. Tuzidi pia kumwomba Mungu maana hata yeye anaona hizi adha watu wanavyoteseka. Ndege zinatua usiku na mchana kuchukua wanyama na madini yaani laiti tungelijua ni kwa jinsi gani nchi inahujumiwa na watu wake wanazidi kufa maskini. Ee Mungu uko wapi njoo tuokoe. Maisha ya shida hivi hadi lini ili hali tuna kila kitu
 
sifa za judge unazifaham? kwa kauli yako tu inaonekana haujui mlolongo wa kuteuliwa kuwa Judge? Unajua yupo katika game miaka mingapi? That lady is competent enough to be a judge.

kusema eti kaajiriwa na ridhiwani mmekosa data na hamjui mnachokisema.
watanzania wenzangu, habari za vijiweni mnazipenda sana, na ndo zinatuharibia, tusiwe na uvivu wa kufikiri tafadhali.
hii threads mods itoeni, ni ya uongo na inapotosha.

tuwekwee vigezo mdau,,,acha hasira kama simbachawene,,,,unaonesha UDHAIFU hivi ungekua na mamlaka hapa jf ungepata mtu,,,,yaan hili la latifa ndo unataka uzi ung'oke
 
Haya yote yana mwisho. Watoto Wa Hosni Mubarak (Alaa & Gamal) walikuwa na nguvu sana Misri. Gamal alikuwa anaandaliwa kuwa rais mteule wa Misri baada ya baba yake. Mwisho wao ulifika....na juzi tu nimewaona kwenye Al Jazeera(News) wakiwa kwenye cage Kama tumbiri anayesubiri kusafirishwa kwenda Mikumi. Nina Imani kuna siku watasaga meno hawa wa hapa kwetu pia.

...eti umewaona wako kwenye cage kama vilewanapelekwa maonyesho ya saba saba????!
 
Haya yote yana mwisho. Watoto Wa Hosni Mubarak (Alaa & Gamal) walikuwa na nguvu sana Misri. Gamal alikuwa anaandaliwa kuwa rais mteule wa Misri baada ya baba yake. Mwisho wao ulifika....na juzi tu nimewaona kwenye Al Jazeera(News) wakiwa kwenye cage Kama tumbiri anayesubiri kusafirishwa kwenda Mikumi. Nina Imani kuna siku watasaga meno hawa wa hapa kwetu pia.

Mkuu umenena kwa busara. Hakuna marefu yasiyo na mwisho.
 
Back
Top Bottom