dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza huku wanaohujumu miundombinu hiyo wakipewa onyo kali.
Hata hivyo wezi hao wamekamatwa maeneo ya Sengerema, Ushirombo na Kigoma
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania