Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,555
217,837
No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Wilfred_Mwalusanya,_Katibu_wa_Chadema_Wilaya_ya_Mbozi_ameachiwa...jpg

Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu.

Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya kughushi na yaliletwa Maalum ili kumkomoa kwa vile alikuwa kiongozi wa Chadema.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya Haki kwa DPP Mhusika na wale wote waliohusika na uovu huu uliojaa unyama ambao haujawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi , kama wapo waliokufa lakini wakati wa uhai wao walishiriki uovu huu basi moto wao wa Jehanamu uongezwe mara 100.
 
View attachment 1790099

Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa kwa amri ya ccm na DPP Biswalo Mganga , ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu

Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya kughushi na yaliletwa Maalum ili kumkomoa kwa vile alikuwa kiongozi wa Chadema .

Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya Haki kwa DPP Mhusika na wale wote waliohusika na uovu huu uliojaa unyama ambao haujawahi kuwepo kwenye nchi hii tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi .
Huko uliko shetani la kihutu endelea kuadhibika ndio maana kaburi lako lilijengewa microwave ili uchomwe vizuri. Endelea kuteseka kwa uchungu mwendazake
 
Back
Top Bottom