Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono.

Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa usalama wao, kulipwa maslahi yote hata Yale yaliyopaswa kulipwa kwa wabunge na madiwani walifanikisha kufika mwisho wa miaka mitano wakiwa kwenye nafasi.

Watu walipewa pia mitaji yakuwawezesha kujitegemea na baadhi walipewa nafasi za utawala kama takrima.

Hoja yangu, kwanini usifanyike ukaguzi maalumu kuhusu kundi hili lililopelekea Kodi za wananchi kutumika kurudia uchaguzi lakini Kodi hizo hizo kutumika kuwalipa mafao na takrima mbalimbali?
 
Ndiyo maana Mwenyezi Mungu aliingilia kati kuliponya Taifa letu kutoka kwenye siasa za kipumbavu za yule dhalim.
 
Polepole na Bashiru ni takataka mb..wa wale,ningepata nafasi ya kuwahukumu ningewachapa risasi hamsini kila mmoja.
Utawala dhalimu wa marehemu Magufuli umetusaidia kuwatambua watu wa hovyo kabisa, wasuo na misimamo, watu wanafiki ambao wapo tayari kufanya chochote kwaajili ya ustawi wa matumbo yao:

Bashiru
Polepole
Mwigulu
Waitara
Ndugai
Kabudi
Tulia
Musukuma
Kibajaji
Japipo
Nkamia
Jafo
 
Ukiendelea kuamini huu upuuzi hadi Mbowe ataondoka.

Juzi Nyalandu karudi. Selemeni wa Mtama Lindi na Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini alirudi. Walilipwa bei gani?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom