Watanzania kushangilia Teuzi za viongozi

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,874
2,000
Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi.

Bado najiuliza sana,hizi teuzi teuzi zinakuaga na jipya gani zaidi ya taratibu tu za uongozi?

Binafsi soon genius yeyote aliyetuliwa tukamshangilia na kututoa kwenye wale maadui watu wa Taifa zaidi ya kuendelea kupigania ugali wake aendelee kuteuliwa na mamlaka huzika.

WaTZ hebu tuelimike sasa na Tuhoji kwa nguvu maendeleo ya nchi yeti ili hizo teuzi zionekane ni kitu cha maana kiasi anasakwa mtu sahivi kwa nafasi sahivi na si akiingia kiongozi basi marafiki na ndugu wanajiandaa kula teuzi na Bata za ajabu ajabu.

Tanzania ni nchi Tangu,kusema na kukemea ni haki yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom